30,000 Likes

30,000 Likes

Duh boss nimekukosea nini? Wapi nimekupangia cha ku-comment?
Mkuu samahani sana sikua na nia ya kukuquote wewe bali nilitaka kumquote mtu mwingine ili nimjibu hivyo,japo niliidelete hiyo comment baada ya kugundua nimemquote wrong person ila naona umeiona comment, my apology mkuu.
 
We mjanja, kwa vyovyote vile tangazo lako lilipata "coverage" ya ke zaidi ya me...teh teh!

Kum-target yeye sio rahisi, ila ku-target jinsia ya ke ili atakayeangukia hapo awe kitoweo..haha!!
Kwahio mimi zoazoa? Mkuu nitake radhi. Niliamua ku-appreciate members wenzangu
 
Huyu RRONDO mjanja sana, utakuwa umepata namba ya Heaven Sent bila kutumia nguvu.

Japo watu wajanja sana...teh!!
Usijali brod darling, nilimpa namba ya bibi akaituma huko zawadi yangu. Hata akisearch jina atakuta Atupakisye Mwandenene lol

On a serious note unaweza ukapokea zawadi bila kureveal chochote kuhusu identity yako, na hata ukijisikia kureveal mbona fresh tu, unajenga tu ujamaa
 
That first para though...🙂🙂😎
 
Back
Top Bottom