Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani sana sikua na nia ya kukuquote wewe bali nilitaka kumquote mtu mwingine ili nimjibu hivyo,japo niliidelete hiyo comment baada ya kugundua nimemquote wrong person ila naona umeiona comment, my apology mkuu.Duh boss nimekukosea nini? Wapi nimekupangia cha ku-comment?
Kwahio nilim-target au imetokea tu?Huyu RRONDO mjanja sana, utakuwa umepata namba ya Heaven Sent bila kutumia nguvu.
Japo watu wajanja sana...teh!!
We mjanja, kwa vyovyote vile tangazo lako lilipata "coverage" ya ke zaidi ya me...teh teh!Kwahio nilim-target au imetokea tu?
Nini shida??? Amani jamani...Unajiona ulivyo mnafiki hapa? "Hawakosagi neno" Usipangie watu vitu vya kucomment,JF ni open forums unalijua hilo?
Kwahio mimi zoazoa? Mkuu nitake radhi. Niliamua ku-appreciate members wenzanguWe mjanja, kwa vyovyote vile tangazo lako lilipata "coverage" ya ke zaidi ya me...teh teh!
Kum-target yeye sio rahisi, ila ku-target jinsia ya ke ili atakayeangukia hapo awe kitoweo..haha!!
Natania bwana, usichukulie siriaz sana.Kwahio mimi zoazoa? Mkuu nitake radhi. Niliamua ku-appreciate members wenzangu
Dola imepanda hivyo? Nitajie duka unalotumiaHilo shindano sio la kukosa 230K usawa huu
Usijali brod darling, nilimpa namba ya bibi akaituma huko zawadi yangu. Hata akisearch jina atakuta Atupakisye Mwandenene lolHuyu RRONDO mjanja sana, utakuwa umepata namba ya Heaven Sent bila kutumia nguvu.
Japo watu wajanja sana...teh!!
Ithink this is like what Rebeca 83 was talking about.We can raise funds for good cause
That first para though...🙂🙂😎Usijali brod darling, nilimpa namba ya bibi akaituma huko zawadi yangu. Hata akisearch jina atakuta Atupakisye Mwandenene lol
On a serious note unaweza ukapokea zawadi bila kureveal chochote kuhusu identity yako, na hata ukijisikia kureveal mbona fresh tu, unajenga tu ujamaa
Imefanyaje though? tehThat first para though...🙂🙂😎
Acha tu...
Inajenga ujamaaImefanyaje though? teh
Inajenga ujamaa
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
- KANA -