30,000 Likes

30,000 Likes

Tangu nimejiunga JF 2010 mpaka leo nimepata likes 29,927(Hizi hazihusiani na lile jukwaa ambalo hata ukijamba unapata LIKE). Nawashuru wote walio-LIKE posts zangu zinazofika 30,806. Kwa kuwekea mkazo shukrani zangu naahidi Vocha ya 10,000/- kwa mtu atakaekuwa wa 30,000 ku-Like posts zangu. Usijisifu una mbio wasifu na wanaokufukuza!

Update: Mshindi Heaven Sent kapata zawadi yake, ila baada ya Nyani Ngabu kusema ataweka $100 nimeona ni vizuri niongeze zawadi kwa mshindi ambayo ni perfume hio hapo chini. Unastahili zawadi hii HS sio kwa ku-Like tu posts zangu bali kwa michango yako humu JFView attachment 849021

Hiyo perfume inaonekana fake
 
Hahaaaaa.

Hongera sana.

Ila kuna watu wanatisha kwa idadi ya likes.

Ngoja niwahi zangu kwenda kule Kijiwe Fikra....

IMG_0210.JPG
 
Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu.
20180828_195326.jpeg
20180828_193933.jpeg

Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)

c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
 
Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631

Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)

c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
Uko fastaa.. kitenge nimekipenda ila perfume nimeipenda zaidi. Natamani kuja pm nashindwa ila nilifanikiwa kufanya ulichoniambia mama.
Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah sijataka kuchelewa.

Umeshindwa kuja pm kwamba kuna tatizo au umeshafunga pm lol? Dooh kama umefanikiwa hongera sana, maana. Tena ngoja nikachungulie nione inavyoonekana now
Uko fastaa.. kitenge nimekipenda ila perfume nimeipenda zaidi. Natamani kuja pm nashindwa ila nilifanikiwa kufanya ulichoniambia mama.
Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom