30,000 Likes

30,000 Likes

Wapendwa katika Bwana, leo imebidi nitafute na smartphone ili niconfirm kwa picha kuwa mzigo wangu nimeupata kama unavyoonekana hapo.
RRONDO yani leo maombi yote ni juu yako teh. You shall never lack anything IJN, siku zote ukawe na utoshelevu. View attachment 849624View attachment 849631

Atakayependa hicho kitenge kinachoonekana hapo, anaweza tu akani-pm (tangazo nimelipia)

c.c Mshana Jr -KANA- Eli79 Mzigua90 et al
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Jr[emoji769]
 
Dah RRONDO na Nyani Ngabu wakitoa zawadi zinapokelewa... Mshana Jr alitoa tena kiroho safi kabisa, moyo mweupe zinakataliwa ETI CHUMA ULETE... This world is not fair [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
Jana nikaacha MPESA hewani
Ajabu nimekuta upungufu wa 25%

[emoji252] [emoji479]
 
Dah RRONDO na Nyani Ngabu wakitoa zawadi zinapokelewa... Mshana Jr alitoa tena kiroho safi kabisa, moyo mweupe zinakataliwa ETI CHUMA ULETE... This world is not fair [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
Hahahaha nipe mimi

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Nipe mimi kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa umesubiri bus saa nzima yamekuja matatu mfululizo sijui utapanda lipi?!
Na mimi nipe tuuuuuuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
Mkuu hivi hii kitu wanaita chuma ulete ipo? Nakumbuka nishaenda duka moja la mpemba kariakoo aliporudisha chenji yangu aliiweka ubaoni hakunipa mkononi. Nilipouliza watu wakasema ndio tabia yao hio kama wahindi wanaogopa chuma ulete!
 
chuma ulete ni pepo la kimaskini... Ni story zaidi kuliko uhalisia ila hii kitu ipo na masharti yake yanatofautiana ila hawezi kuchukua zaidi ya mahitaji yake na mara nyingi ni pesa ndogondogo chini ya elfu mbili na ikizidi sana 5000

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom