Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Unampa bila kujua... Maranyingi unamzidishia changeSasa anachukuaje?
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampa bila kujua... Maranyingi unamzidishia changeSasa anachukuaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee! Ila na hizi mobile money naona hawapati sana!
[emoji23] hapana wana mzio na huo uchawi wa kizungu... Wao wanataka mkono kwa mkonoAu labda napo baada ya ku-type 500/- kumlipa una-type 5,000/-!
Mshana hela yake mpaka aianike mwezini wiki nzima.Haya sasa umesubiri bus saa nzima yamekuja matatu mfululizo sijui utapanda lipi?!
Hivi na Ile ya kuhesabu helaUnampa bila kujua... Maranyingi unamzidishia change
Jr[emoji769]
MulemuleHivi na Ile ya kuhesabu hela
Baadae ukirudia unakuta pungufu nayo ni chuma ulete au uzembe wa muhesabuji
[emoji252] [emoji479]
Thanks T ake, ntakupa kichupa perfume ikiisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi ngoja afanye mpango wa tigopesa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kuna post hazifi bali zinalala tuuUmefukua kaburi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saiv itakua ime accumulate[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nijibu swali kwanza😂Wewe unatafuta nini huku?