Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
30-39
Ni umri ambao ule ubishi na kiburi cha ujana unaanza kushuka taratibu kwa maana unaanza kukubaliana na hali halisiš
Ni umri ambao unaanza kujua kwa nini baba na mama yako walikuwaga wanazinguana kila siku.
Ni umri ambao kama haujajenga, akili inaenda kasi sana na kupigana kwa namna yoyote ile ili angalau kabla haujagusa 40 uhamie kibandani.
Ni umri amba ndio una andaa mazingira ili mid-life crisis ikija angalau ikukute upo imara spiritually, economically, psychologically na health wise.
Nawatakia mema wana 30s wa JF ila zaidi afya njema maana huu ndio umri wa kuanza kuona magonja haya ya kisasa.šš