Nashangaa zamani nilikua๐คna tabia ya kutembea usku niKijiamini naweza kupigana Ila sahvi sanne nimo ndaniNi umri ambao ule ubishi na kiburi cha ujana unaanza kushuka taratibu kwa maana unaanza kukubaliana na hali halisi๐
Ni umri ambao unaanza kujua kwa nini baba na mama yako walikuwaga wanazinguana kila siku.
Ni umri ambao kama haujajenga, akili inaenda kasi sana na kupigana kwa namna yoyote ile ili angalau kabla haujagusa 40 uhamie kibandani.
Ni umri amba ndio una andaa mazingira ili mid-life crisis ikija angalau ikukute upo imara spiritually, economically, psychologically na health wise.
Nawatakia mema wana 30 wa JF ila zaidi afya njema maana huu ndio umri wa kuanza kuona magonja haya ya kisasa.๐๐
๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟHaaaa, 25 Nilikua Tayari Nina Nyumba.
Niliamia ktk Nyumba yangu.
Kujenga nyumba sio Big dill, Swala Muhimu ni kua na Vitega uchumi Nyumba unajenga mda wowote au Kununua nyumba utakayo na Sehemu utakayo.
Are u sure? Watu wengi walisema hivo na walikufa bila Ata kibandaHaaaa, 25 Nilikua Tayari Nina Nyumba.
Niliamia ktk Nyumba yangu.
Kujenga nyumba sio Big dill, Swala Muhimu ni kua na Vitega uchumi Nyumba unajenga mda wowote au Kununua nyumba utakayo na Sehemu utakayo.
Nilikua bado na upepo, misuli iko vizuri nafanya mazoezi ya karate daily siku hizi nimeacha๐ Ulijihisi john cena eti?
Hongera mkuu 27 hapa.Haaaa, 25 Nilikua Tayari Nina Nyumba.
Niliamia ktk Nyumba yangu.
Kujenga nyumba sio Big dill, Swala Muhimu ni kua na Vitega uchumi Nyumba unajenga mda wowote au Kununua nyumba utakayo na Sehemu utakayo.
Hapana, Point ni kuweka malengo, pia Vitega uchumi vitaingiza pesa ambayo itakusaidia kujengaAre u sure? Watu wengi walisema hivo na walikufa bila Ata kibanda
39 nina pagaleHom
Hongera mkuu 27 hapa.
Sina hata kiwanja
Mungu atakupa ndugu, pia Cha Muhimu ni kusali na Usaidie Watoto ktk mahitaji yao.Mungu atakubariki.Hom
Hongera mkuu 27 hapa.
Sina hata kiwanja