32 Bora Afrika, Baada ya Makapi Kuondolewa kwenye Kiny"ang"anyiro

32 Bora Afrika, Baada ya Makapi Kuondolewa kwenye Kiny"ang"anyiro

KAMBI MLIFANYIA SOUTH AFRICA.

KWA TAARIFA ZILIZOPO NI KWAMBA WALIOCHEZA NA SIMBA SOUTH AFRICA MATOKEO YAO NI KAMA IFUATAVYO:-

*1. ORLANDO PIRATES - OUT*

2. *TOWNSHIP ROLLERS - OUT*

3. *SIMBA - OUT*
Mikia naona imekuwa na gundu kwa wengine kama ilivyokuwa kwa yule Mwanamuziki wa Marekani ambae Mchezaji kila aliepiga nae picha Timu yake ilifungwa.
 
Tumeona Uwezo wenu dhidi ya Ruvu Shooting Hongereni sana. Inshort Yanga haijafunga bao lolote la Movement ya pasi za mpira Uwanjani. Wamefunga mabao yoote kwa adhabu, kuanzia Mechi ya Kariobang hadi juzi kwa Rollers ni mwendo wa adhabu.
 
Huu uzi ni kama bomu la machozi au maumivu ya kukata kitunguu kwa mbumbumbu fc
 
Back
Top Bottom