35 Most Elite Fighting Military Teams From Around The World

And that is just kenya police Hatujawai Onyeshwa anything about the special forces in somalia

We don know anything their Size is Classified Their Identy is classified Their operations are classified especially all somali missions Their bases are classified The only picture i have about Kenya KDF SF is

They are Classified Head to Toe!!
 
Kenya wildlife service Rangers in Sololo Ranch Kenya Ethiopia Border!

KDF SOMALIA PATROL
 
Ttrue dat. In 2011 rumour had it that the were roughly a battalion size but now... not sure!
 
achaneni na haya wabongo nanyi....nliona picha za special forces wao zimewekwa na jamma flani ctamtaja kidogo nivunjike mbavu.waambieni tu tpdf iko juu tumalize huu ugomvi
 
Nyokooooo eti kenya ya 13 !! Wnakubandua kweli wewe ,Somalia tuu hpo wnakufila kla sku halafu unabana pua hpa "eti kenya ya 13" bana Makalio usifilwe Somalia nikuone ww n jeshi lko wnaume **** ww

una upumbavu kwani hiyo ripoti tumeiandika mbona usiingie mtandaoni uthibitishe..ujinga wako umekithiri.
 
Ficha upumbavu wako unadangwa unadanganyika na unaleta thread irrelevant hapa, tanzania iwe 27 duniani?????? Kweli ile research ya watz wengi vichaa ni kweli.
 
Ficha upumbavu wako unadangwa unadanganyika na unaleta thread irrelevant hapa, tanzania iwe 27 duniani?????? Kweli ile research ya watz wengi vichaa ni kweli.
Hahahahaha. Mbona unalia sana nini tatizo.
 
Sababu ya roho mbaya za wakenya.. Media zao kwa miaka yote zimekuwa zikiandika mabaya ya watanzania na Tanzania yenyewe.. wakenya wengi wamedanganywa juu ya Tz.. Leo wakiona zuri lolote la tz mapovu yanawatoka...
 
we unajielewa kweli....mabaya mangapi yanaandikwa kuhusu kenya na hao journalists wetu wenyewe.we dont give a fvck,liwe baya au zuri waandike tu kama ni ukweli.na kama mnaona wameandika uongo kuwahusu mnaeza zusha
 
Kwikwikwi. Yaani wakenya miaka hii mtaweweseka sana.

Kila kukichanaandika news za nchi jirani, mnazusha uongo. Kwani kuandika ya nchini kwenu inahusu nini TZ.

Huo ni ubwabwa na kukosa international diplomacy. Ni ushamba wa hali ya juu. Mmeaminishwa kuwa TZ ni hakuna kitu na nyie mkaamini pasipo kufanya utafiti. Ona sasa mnavyoumbuka na kuanza kutoa mapovu hovyo hovyo.
 
we unajielewa kweli....mabaya mangapi yanaandikwa kuhusu kenya na hao journalists wetu wenyewe.we dont give a fvck,liwe baya au zuri waandike tu kama ni ukweli.na kama mnaona wameandika uongo kuwahusu mnaeza zusha
Haaahhhaaa.! Kujielewa? Hv ww mkenya unaejielewa kwa kipi? Kuna ukweli gani waujua juu ya Tz? Hv ninyi mungiki, malofa wa kiafrica kwenye nchi yenyekunasib yenye uchumi mkubwa wakati wngi wenu mnakufa njaa na wengine sura zimewakakamaa shauri ya stress za maisha magumu .. ebu nenda kanunue sukuma wiki uje pika na ukal mkubwa.. Ushushie na gongo..
 
Hao spetnaz wa russia ni nyoko aseeh ....niliona documentary moja ...zoez gumu kuliko ni unaachwa katikat ya jiji na nguo za jela...alaf polisi waanambiwa kuna mfungwa katoroka yupo sehem fulan...polisi wao hawajui kuwa ni zoezi,wanajua ni real thing ..
 
KDF ndiyo walikuwa wanaiba mabox ya pipi kwenye westgate mall? Kenya bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…