35 Most Elite Fighting Military Teams From Around The World

35 Most Elite Fighting Military Teams From Around The World

Hao spetnaz wa russia ni nyoko aseeh ....niliona documentary moja ...zoez gumu kuliko ni unaachwa katikat ya jiji na nguo za jela...alaf polisi waanambiwa kuna mfungwa katoroka yupo sehem fulan...polisi wao hawajui kuwa ni zoezi,wanajua ni real thing ..
Imebidi nicheke kwanza aya mazoezi mengine noma
 
Swahili will kill us .....sasa in english itakuwa police soldiers???
Soldier sio jeshi acha kujiaibisha. Kama hujui kiswahili kaa kima.
Jeshi = Army
Askari = Soldier

Wewe popoma kweli
 
Haaahhhaaa.! Kujielewa? Hv ww mkenya unaejielewa kwa kipi? Kuna ukweli gani waujua juu ya Tz? Hv ninyi mungiki, malofa wa kiafrica kwenye nchi yenyekunasib yenye uchumi mkubwa wakati wngi wenu mnakufa njaa na wengine sura zimewakakamaa shauri ya stress za maisha magumu .. ebu nenda kanunue sukuma wiki uje pika na ukal mkubwa.. Ushushie na gongo..
sasa waongea kuhusu nini..economy ama wanahabari wakenya kuandika kuhusu tz
 
C kwa Ubaya

Tanzania wants to say its ahead of South africas Recce special forces ????or The egyptian Special forces or The Tunisian special forces or the Kenyan special forces???

What mission has the Tanzanian special forces done within the last 15yrs????

Or the last 8yrs ???

Smh they rank this people based on what???

They wont last a single mission in Somalia to capture of kill any of their leaders ....


Just Google search Kenya special forces somalia mission and see whether ee have had a single casualty since we entred somalia


Recces squad ya KENYA POLICE GSU killed the Garissa Terrorist in 12mins

In a Dark Building!! Each got a shot in the head Close range Hao tunawatuma tu ikulu dodoma in 1hr kila mtu ako chini

Nyinyi wakenya ni wajinga sana!

We dealt with South African state security organs for nearly or over half of a century.

"Recces squad ya KENYA POLICE GSU killed the Garissa Terrorist in 12mins" hapa ndio maana nasema nyinyi ni WAJINGA SANA. You guys are essentially STUPID. hao mnao waita terrorist ni vijana wa mitaani wasio na mafunzo yoyote ya maana.

Kumbuka ya kua, mmoja wa terrorists hao ni Mtanzania, Mr Rashid Charles Mberesero, alias Rehani Dida. The Tanzanian boy along with his kenyan fools never had any serious training apart from learning how to use rifles. An art that is so common among northerners in Kenya most of whom walk out & about virtually naked.

njaa.jpg


The image is from: Thieves Are Looting Kenya While Turkanas Are Starving To Death

"What mission has the Tanzanian special forces done within the last 15yrs??"

As I mentioned above, we had score of encounters with the world's serious forces such as CIA. Read this: Operation Mahe in Seychelles

Our special Operation forces were part of the team that rooted out M23.

Eti Somalia? Al shabab is a ragtag gang, a gang that cant afford a decent meal nor decent shoes talkless of serious weapons. They only use machine-guns and RPGs only. Shame on you Stupid Kenyans to take credit from this weak gangs.
 
mnachokiweza watz kinajulikana duniani kote, hongereni.
f7c5604d4e9961ec4f7b5a27abbbefd4.jpg
5419daa94e8384c0b8d81704f73dac75.jpg
 
Hii elite team ya Kenya ilikuwa wapi Westgate? Na hiyo KDF si ndo hii iliyopoteza 1000+ soldiers through ambushes by yeboyebo guys!?
 
Sababu ya roho mbaya za wakenya.. Media zao kwa miaka yote zimekuwa zikiandika mabaya ya watanzania na Tanzania yenyewe.. wakenya wengi wamedanganywa juu ya Tz.. Leo wakiona zuri lolote la tz mapovu yanawatoka...

Kweli mkuu
Ndio maana huwa tunawaomba wajaribu kuitembelea Tanzania waache mambo ya Google .
Taarifa nyingi za Tanzania hazipo mitandaoni
Nihivi karibuni tu ndio kama zimeanza kuingizwa
 
Back
Top Bottom