35 Most Elite Fighting Units From Around The World

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
sio maneno yangu, nime-copy na ku-paste kutoka sehemu moja hivi.

35 Most Badass Elite Fighting Units From Around The World

These are the world's most elite military teams. They're highly trained, best equipped and well-prepared fighting units specializing in surgical military operations, from ending a hostage situation swiftly to stealthily eliminating top terrorists.
Yeah, pity the fools who get on the wrong side of any of these elite fighting forces. Please keep in mind that this fascinating list is in no particular order. We just hope you enjoy this one.
1. US Navy SEAL
sf1.jpg

2. British SAS
sf2.jpg

3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces
sf3.jpg

4. French Special Forces
sf4.jpg

5. ROC (Taiwan) Special Forces with bullet proof face masks
sf5.jpg

6. Irish army rangers
sf6.jpg

7. Serbian Gendarmerie
sf7.jpg

8. MARSOC
sf8.jpg

9. Canadian counter terrorist group JTF2
sf9.jpg

10. Korean Special Forces
sf10.jpg

11. Dutch Special Forces
sf11.jpg

12. SBS
sf12.jpg

13. French Special Forces
sf13.jpg

14. Belgian Special Forces Group
sf34.jpg

15. Norwegion MJK
sf15.jpg

16. Canadian Joint Incident Response Unit (Nuclear, biological and chemical warfare defence)
sf16.jpg

17. Marinejegerkommandoen – Norwegian Navy Special Forces
sf17.jpg

18. French Commando Marine
sf18.jpg

19. Norwegian Armed Forces' Special Command
sf19.jpg

20. New Zealand Special Forces
sf20.jpg

21. US Army Special Forces Sniper with Remington Modular Sniper Rifle
sf21.jpg

22. Polish GROM
sf22.jpg

23. U.S. Special Forces
sf33.jpg

24. Indonesian Special Forces Command
sf35.jpg

25. Romanian Special Forces
sf25.jpg

26. Australian SASR
sf26.jpg

27. Tanzanian Special Forces In Congo
sf27.jpg

28. German KSK (Army / Special Forces)
sf28.jpg

29. German Army Special Forces the KSK
sf29.jpg

30. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)
sf30.jpg

31. Russian Special Forces: Spetsnaz
sf31.jpg

32. Austrian special forces: Jagdkommando
sf32.jpg

33. Iraqi special forces
sf14.jpg

34. Kampfschwimmer (Combat Swimmers) from Germany's elite SEK-M special forces
sf23.jpg

35. Peruvian Army special forces
sf24.jpg

nadhani wame-consider 'fighting forces' na sio 'intelligence forces"

nasubiri maoni ya wajuzi kuhusu hii list
 
hapo kwa tanzania na iraq....kuna maswahili ya kujiuliza.

Kama kawaida ya Watanzania,kutokujiamini kunatumaliza sana

Unakuta hata anaebisha hajui hata walioweka hii orodha wametumia viwango gani

Lakini zaidi unakuta anaebisha hajui kabisa haya masuala ya kijeshi

Hapo ndipo utamkubali Mbongo!
 
JWTZ ni jeshi ambalo kwa muda mrefu limejitokeza ktk media za kimataifa miaka ya 1990 gazeti la Discovery (nadhani linatolewa na USA) liliandika kwa tz miaka ile ilikuwa na askari takribani elfu 22, lilisema hata hivyo ni vigumu kujua idadi kamili kwa kuwa vijana wa tz wengi walikuwa wamepitia mafunzo ya kijeshi.

Gazeti hilo liliandika kikosi cha askari wa miguu kilikuwa bora mno kuliko majeshi mengi ya afrika. Lakini waliandika kikosi cha wanamaji na cha anga hakikuwa bora.

JWTZ ni jeshi pekee katika Afrika lenye uzoefu mkubwa wa vita kwa kuwa limeshiriki katika vita kibao kusini mwa jangwa la Sahara. JWTZ wanafahamika SA, MSUMBIJI,COMORO,USHELISHELI, UGANDA, msaada wao unajulikana huko ZIMBABWE,NAMIBIA,ANGOLA, SUDANI, DRC.

Kwa sasa ni jeshi ambalo limeanza kupewa uzoefu wa mazingira ya kupigana jangwani na katika bahari kuu kukabiri ugaidi. Vikosi vya maji na anga vimeanza kupata support ya kimataifa.Jeshi la maji limekuwa wenyeji wa takribani meli vita za mataifa makubwa kijrshi duniani.

UN imekiri pia kwamba JWTZ ni jeshi dogo lenye silaha duni lakini lenye nidhamu ya hali ya juu. Tabia hii imelifanya JWTZ lipendwe mahali pote linapopelekwa kwa misheni za umoja wa mataifa, mfano huko Darfur vikosi vya RWANDA, NIGERIA vilivurumishwa na wasudani waasi kwa kuwa havikuwa na nidhamu.Toka UN wapeleke JWTZ huko ule mvutano wa vikosi vya UN na raia wa huko umekwisha.Matokeo yake kila JWTZ wanapomaliza mkataba wa kulinda amani huko Darfur UN wamekuwa wakiomba JWTZ liendelee kubakia huko.

NIDHAMU NDIYO MSINGI MKUU WA JWTZ kuwa miongoni mwa majeshi 35 bora duniani ikishika nafasi ya 27.
KEEP IT UP JWTZ, hongera JK pia kwa kuliboresha jeshi letu kimafunzo na kwa vifaa.
 
Namba hizi 8 ndio wanajeshi wa wapi? 10.korea ipi? 12.sbs ndio wapi? Hongera Tanzanistan kushika nafasi hiyo.
Nalog off
 
sisemi tanzania kijeshi wako ovyo... sema ikulu ya bongo ofisi yao iko ovyo sana, ovyo sijawahi pata kuona, wakaandika kabisa barua bila hata aibu kwenda kwa wana habari wakiwa na link ya source, na link hata sio reliable kabisa, ts just a place mtu yeyote anaruhusiwa kuandika article.. I wonder, hivi ikulu kabisa ofisi ya rais wa nchi kama Tanzania, wanakua wajinga kiasi gani kukaa hadi wakafikiria ati hii tumeiona link flani ambayo si reliable tuandike tuwatumie waandishi wa habari..
Ina maana hawana watu wataalamu wa sayansi waliodeep kabisa wanajua computer technology na ulimwengu mzima wa mtandao unavokwenda kujua kua inaeza kua just a guy kakaa kafabricate? nliona ile barua nikajisikia aibu sana, ofisi kama ya rais iko na watu wenye akili ndogo namna hiyo... wafukuze au wa-ajiri kampuni ambayo itakua inawasaidia kwenye haya maswala ya technology sio kukurupuka na kutrust kila wanaloona kwenye internet.. Madness! Stupid! hawa ni a disgrace waafrika wote tunaonekana wajinga sababu ya raia flani
 
Kama kawaida ya Watanzania,kutokujiamini kunatumaliza sana

Unakuta hata anaebisha hajui hata walioweka hii orodha wametumia viwango gani

Lakini zaidi unakuta anaebisha hajui kabisa haya masuala ya kijeshi

Hapo ndipo utamkubali Mbongo!

Kwanza hakuna kitu kinachoitwa "Tanzania special forces in Congo",pia watu wenyewe bado wanatumia bunduki dhaifu kwenye mission za hatari, kwa kifupi " they are I'll equipped to be special forces.
 
Na media houses zetu zilivyo hopeless waka publish bila kuhoji
 
JWTZ ni jeshi ambalo kwa muda mrefu limejitokeza ktk media za kimataifa miaka ya 1990 gazeti la Discovery (nadhani linatolewa na USA) liliandika kwa tz miaka ile ilikuwa na askari takribani elfu 22, lilisema hata hivyo ni vigumu kujua idadi kamili kwa kuwa vijana wa tz wengi walikuwa wamepitia mafunzo ya kijeshi.

Gazeti hilo liliandika kikosi cha askari wa miguu kilikuwa bora mno kuliko majeshi mengi ya afrika. Lakini waliandika kikosi cha wanamaji na cha anga hakikuwa bora.

JWTZ ni jeshi pekee katika Afrika lenye uzoefu mkubwa wa vita kwa kuwa limeshiriki katika vita kibao kusini mwa jangwa la Sahara. JWTZ wanafahamika SA, MSUMBIJI,COMORO,USHELISHELI, UGANDA, msaada wao unajulikana huko ZIMBABWE,NAMIBIA,ANGOLA, SUDANI, DRC.

Kwa sasa ni jeshi ambalo limeanza kupewa uzoefu wa mazingira ya kupigana jangwani na katika bahari kuu kukabiri ugaidi. Vikosi vya maji na anga vimeanza kupata support ya kimataifa.Jeshi la maji limekuwa wenyeji wa takribani meli vita za mataifa makubwa kijrshi duniani.

UN imekiri pia kwamba JWTZ ni jeshi dogo lenye silaha duni lakini lenye nidhamu ya hali ya juu. Tabia hii imelifanya JWTZ lipendwe mahali pote linapopelekwa kwa misheni za umoja wa mataifa, mfano huko Darfur vikosi vya RWANDA, NIGERIA vilivurumishwa na wasudani waasi kwa kuwa havikuwa na nidhamu.Toka UN wapeleke JWTZ huko ule mvutano wa vikosi vya UN na raia wa huko umekwisha.Matokeo yake kila JWTZ wanapomaliza mkataba wa kulinda amani huko Darfur UN wamekuwa wakiomba JWTZ liendelee kubakia huko.

NIDHAMU NDIYO MSINGI MKUU WA JWTZ kuwa miongoni mwa majeshi 35 bora duniani ikishika nafasi ya 27.
KEEP IT UP JWTZ, hongera JK pia kwa kuliboresha jeshi letu kimafunzo na kwa vifaa.
Ni jeshi pekee " maalum" bado linatumia kashinkof, aibu.
 
Kwanza hakuna kitu kinachoitwa "Tanzania special forces in Congo",pia watu wenyewe bado wanatumia bunduki dhaifu kwenye mission za hatari, kwa kifupi " they are I'll equipped to be special forces.

Kwanini hakuna kitu kama hicho?

Unajuaje kuwa wanatumia bunduki dhaifu kwenye mission za hatari?

Hicho kiingereza hapo mwisho maana yake nini?
 
JWTZ ni jeshi ambalo kwa muda mrefu limejitokeza ktk media za kimataifa miaka ya 1990 gazeti la Discovery (nadhani linatolewa na USA) liliandika kwa tz miaka ile ilikuwa na askari takribani elfu 22, lilisema hata hivyo ni vigumu kujua idadi kamili kwa kuwa vijana wa tz wengi walikuwa wamepitia mafunzo ya kijeshi.

Gazeti hilo liliandika kikosi cha askari wa miguu kilikuwa bora mno kuliko majeshi mengi ya afrika. Lakini waliandika kikosi cha wanamaji na cha anga hakikuwa bora.

JWTZ ni jeshi pekee katika Afrika lenye uzoefu mkubwa wa vita kwa kuwa limeshiriki katika vita kibao kusini mwa jangwa la Sahara. JWTZ wanafahamika SA, MSUMBIJI,COMORO,USHELISHELI, UGANDA, msaada wao unajulikana huko ZIMBABWE,NAMIBIA,ANGOLA, SUDANI, DRC.

Kwa sasa ni jeshi ambalo limeanza kupewa uzoefu wa mazingira ya kupigana jangwani na katika bahari kuu kukabiri ugaidi. Vikosi vya maji na anga vimeanza kupata support ya kimataifa.Jeshi la maji limekuwa wenyeji wa takribani meli vita za mataifa makubwa kijrshi duniani.

UN imekiri pia kwamba JWTZ ni jeshi dogo lenye silaha duni lakini lenye nidhamu ya hali ya juu. Tabia hii imelifanya JWTZ lipendwe mahali pote linapopelekwa kwa misheni za umoja wa mataifa, mfano huko Darfur vikosi vya RWANDA, NIGERIA vilivurumishwa na wasudani waasi kwa kuwa havikuwa na nidhamu.Toka UN wapeleke JWTZ huko ule mvutano wa vikosi vya UN na raia wa huko umekwisha.Matokeo yake kila JWTZ wanapomaliza mkataba wa kulinda amani huko Darfur UN wamekuwa wakiomba JWTZ liendelee kubakia huko.

NIDHAMU NDIYO MSINGI MKUU WA JWTZ kuwa miongoni mwa majeshi 35 bora duniani ikishika nafasi ya 27.
KEEP IT UP JWTZ, hongera JK pia kwa kuliboresha jeshi letu kimafunzo na kwa vifaa.

Nafurahi sana kuona watu ambao wanatoa maelezo mahiri ya angalau yanaridhisha kama haya

Sio mtu anakuja na kuponda bila hata ya maelezo ya kuridhisha angalau kidogo!
 
hizo nchi za scandnavia zimefanya operations gani hadi ziwe considered elite?????? the last operation in ww2 nchi zao zilikua occupied na nazi german within a month na wote wali surrender leo hii wanakua considered ni elite how? hardly stuff to admire!!!
 
Nimeiona TANZANIA kwenye list na siyo CHINA.
JWTZ I GIVE YOU SOME LOVE WITH HEAVY 5 GUYZ

.made in mby city.
 
Kama kawaida ya Watanzania,kutokujiamini kunatumaliza sana

Unakuta hata anaebisha hajui hata walioweka hii orodha wametumia viwango gani

Lakini zaidi unakuta anaebisha hajui kabisa haya masuala ya kijeshi

Hapo ndipo utamkubali Mbongo!

ni kweli mkuu sijui kwanin watanzania kila kitu tunapinga na vingine mtu hana hata uhakika nacho ili mradi anapinga tu!
 
Sioni ajabu xana kwa mtz kuiponda nchi yake kwani wabongo wengi wana kasumba ya kukataa asili yao na ndio maana wengi wao ni artificial na sio asil
wanajichubua,wanavaa mawig .Tz pia inaongoza kwa wa2 kukataa wazazi wao
NAIPENDA SANA TANZANIA
 
Back
Top Bottom