Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
mkubwa safar yangu ya taaluma ilishia diploma semister ya pili according to matatzo ya dunia (so inshort nimeishia ngaz ya chet)Pia ungespecify taaruma yako ni ktk ngaz ipi cheti, diploma, au graduate.
Njoo kitaa tuuze vinbama
ndio nini hivyo(red)
Acha ujinga na uzoba weweee.. Haya mambo ya kujagua kazi na biashara ndo yanakufanya uendelee kuwa jobless.. Na utaendelea hivyo kama hutabadilisha attitude yako yakishamba... Kuna watu wamesomeshwa kwa biashara za gongo za wazazi wao lakini wakimaliza chuo ndo wakwanza kuponda hio biashara...!!!mh... haupo serious ...km vp kalale ukue
Mkuu fata ushauri wa Jamaa wa kwanza at list katoa ushauri mzuri wakununuwa computer kulingana na bajet yako
Hivi hapa.... Na shine kitaa na bidhaa adimu
Nlivionaga tunduma hvo,,vitamu lkn
mh... haupo serious ...km vp kalale ukue
sawa mkuu wazo zuri sanaJaribu kupenyeza taaluma yako kwa wanafunzi wa vyuo,maofisini, cha msingi technically uwe vzuri, wakikujua kwamba sio mbabaishaji utafanya kazi sana.mwenyewe baada ya life kubana nlipita huko saizi npo vzr.
Kama huna computer nunua moja, ni kama 250,000 used, nunua subwoofer 80,000 fungua kijiwe cha kuingiza nyimbo ktk simu na kukodisha cd uswahilini,
ni'pm namba yako..Mkuu unavihitaji nikuletee?? Free delivery within Dar kwa package ya 10,000 and above..
Hivi hapa.... Na shine kitaa na bidhaa adimu