360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

Membe aseme tumchangie kuliweka hili jamaa rupango.
 
sharia? upo serius au unatania? manake nilikuwa nimejikunja kuusima mkeka wako lakini nilipoona hilo neno nikakudharau kabisa
 
Membe na Karume wamshikishe Adabu huyo Mwanaharakati Empty Musiba wamfunge tu hata miaka 10.
 
Mbona sasa ni kama hizi sheria zinamkandamiza mdai na kumfavor mdaiwa?
Hapa Ni kwamba Membe apige mnada wa kumfilisi musiba, hata alipata 50m aachane nae asimpeleke huko jela. Hii pia Ni adhabu Tosha kwa huyo mtukanaji.
 
kuna haja yakujifunza uchawi sasa...sasa jitu unalidai halafu linasumbua kukulipa na hata likifilisiwa mali zake haziwezi kulipa deni na linatamba tu huku uraiani unafanyaje sasa.....dawa kulipiga kitu cha kigoma tu liwe chizi yaishe....
Akifirisiwa alicho nacho Ni adhabu Tosha hata Kama hakifiki anachodaiwa.
 
Uliposema tu empty β€˜Degree’ badala ya β€˜Decree’ nikachoka kabisa
 

Kwamba hujui tofauti ya Degree na Decree?

Hii ni aibu
 
Milioni 70 Membe atailipa tu ili amkomeshe
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kesi ya madai ndiyo ilivyo, bora mdai apate japo kidogo kuliko mdaiwa kufungwa, maana gharama zote zinazohusiana na mfungwa zinabebwa na mdai.
Lakini pia deni la mdaiwa linaongezeka kwa zile gharama zote atakazotumia mdai kuhakikisha mdaiwa wake anaishi vizuri huko lupango.
 
AN EMPTY DECREE..
Hii sheria inatumika sana katika mataifa ya wenzetu yalioendelea hasa kuwakomesha viongozi wabadhirifu,mafisadi na wavunjaji wa sheria kutumia madaraka yao.
Tofauti ni kwamba badala ya kuingia gharama za accomodation kwa ajili ta inmate jamii husika inapiga kura ya maamuzi "pertition" ndani ya muda uliopangwa kwa idadi ya kura kadhaa tajwa, basi kura zikitimia anafungwa kifungo kwa mujibu wa sheria zisipotimia ni suluhu kwake..

Kwanini pertition..
Wenzetu wenye siasa safi wanaamini kiongozi yeyote yupo kwa ajili ya kumtumikia mwananchi na kumwakilisha katika serikali yake So kwa sababu tu presence yake imepatikana kwa kura na vilevile atawajibishwa kwa kura..
Sipati picha hii hukumu kwa Tz tungekuwa tunapertit...
Nawasilisha.
 
Shule umetuongezea safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…