36billion ,,HESLB

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
HIZO NI PESA ZILIZOTENGWA ILI KUWAKOPESHA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KWA WALE WALIOKOSA AWALI note kama hukupata incomplete application form na una vigezo mf,priority course,orphan and so far utapata na hata leo watu wengi wamepewa ila Hawa Wakurugenz wa HESLB wana vigezo vyao Rushwa tu, kwa xaxa lakini kesho kutakuwa na open CONFERANCE ambapo wizara ya Elimu {MULUGO},Wakurugenzi wa HESLB na Waziri mkuu watakuwepo kuzungumzia suala hilo la wanafunzi wa Elimu juu kukosa mkopo 23,300 na hapo wanatarajia kutoa ufafanuzi jinsi HESLB inavyojitaidi kukusanya fedha ili waweze kuwakopesha na wengine kama jana ungeenda HESLB walikuwa na kikao block no.5 na agenda kubwa ilikuwa ni jinsi gani wataweza kupunguza malalamiko ya waombaji mikopo,,subiri kesho utapata habari zaidi na KARIBUNI WOTE WANA JF KWNYE BIRTHDAY YANGU,GOD BLESS YOU bye
 

Happy Birthday to you.!
 
yule jamaa aliyesema watu wauze mbuzi kondoo na ng'ombe si ndio mkubwa katika hili(naibu waziri wa elimu) sasa wamekaa kufanyaje wakati washatoa kauli?
 
Mkuu,mleta uzi...

Sijakuelewa kabisa,hapo uliposema kuwa,wameshaanza kulitawanyisha hilo li-bilion....

Inakuwaje wengine waanze kupewa huo mkopo,wamezingatia vigezo gani...??
......Rat smelling.....
 
duuuh... ivi kwa nn wasingesema hii kodi ya line za simu inaelekezwa yote kwa heslb... ningeonah wana akiri sana
 
duuuh... ivi kwa nn wasingesema hii kodi ya line za simu inaelekezwa yote kwa heslb... ningeonah wana akiri sana


Hizo kodi wazielekeze heslb....!!
Halafu heslb wazielekeze kwenye matumbo yao....!!
 
fiklia wanasema kuwa il wanafunz wote wapew mkopo n lazima wapew 400bil swali ?walikuwa na 326bil wakatoa mkopo kwa wanafunzi29,279 je 74bil ndio itatosha kwa wanafunzi 23,300 jaman labda me hesabu sijui angalia 326bil zmetumika kwa watu? na idadi iliyokosa na iliyopata naomba MATHEMATICIAN wafanye kaz yao hapa
 
kama ni kweli pesa zmeongezwa,watapata wale wenye vipaumbele tu. Nitashukuru kama na mie ntakuwepo hapo. Nazisubir
 
326bl co kwa mwaka wa kwanza tu ni pamoja na wanaoendelea!
 

hivi ni kwa nini wanafanya mambo chini chini? Si waseme kinachoendelea? MKUU nimeandikiwa eligible for loan but budget exhousted JE NAWEZA BAHATIKA?
 
hivi ni kwa nini wanafanya mambo chini chini? Si waseme kinachoendelea? MKUU nimeandikiwa eligible for loan but budget exhousted JE NAWEZA BAHATIKA?

mwenyewe nimeandkiwa ivo ivo eligible for loan but budget exhausted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…