witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 722
- 237
HIZO NI PESA ZILIZOTENGWA ILI KUWAKOPESHA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KWA WALE WALIOKOSA AWALI note kama hukupata incomplete application form na una vigezo mf,priority course,orphan and so far utapata na hata leo watu wengi wamepewa ila Hawa Wakurugenz wa HESLB wana vigezo vyao Rushwa tu, kwa xaxa lakini kesho kutakuwa na open CONFERANCE ambapo wizara ya Elimu {MULUGO},Wakurugenzi wa HESLB na Waziri mkuu watakuwepo kuzungumzia suala hilo la wanafunzi wa Elimu juu kukosa mkopo 23,300 na hapo wanatarajia kutoa ufafanuzi jinsi HESLB inavyojitaidi kukusanya fedha ili waweze kuwakopesha na wengine kama jana ungeenda HESLB walikuwa na kikao block no.5 na agenda kubwa ilikuwa ni jinsi gani wataweza kupunguza malalamiko ya waombaji mikopo,,subiri kesho utapata habari zaidi na KARIBUNI WOTE WANA JF KWNYE BIRTHDAY YANGU,GOD BLESS YOU bye