Mhhhhh! kweli huu mwaka ni mgumu sana kwa watu waliopenda short cut awamu ya 4. Kila mtu ajitathimini kama yeye ni jipu au la kabla mtumbuaji hajamfikia.
Huyo muajiriwa anataka kusepa haraka kabla hajatumbuliwa jipu.Mwajiri naye kastuka anataka atumbue jipu!
Spidi ya Magufuli inaleta mahangaiko makubwa kwa watu wengi hapa nchini.Kuna watakaokula krismas kitandani kwa presha!