37 unaomba kuretire! Loh

37 unaomba kuretire! Loh

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kweli tinga tinga analeta maajabu, jana kuna jamaa ofisini kwao wanaomba kupumzika, miaka 37?? Muajiri, sikuachi mpaka unipe vyeti nihakiki...
 
Pdidy katika ubora wake
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! kweli huu mwaka ni mgumu sana kwa watu waliopenda short cut awamu ya 4. Kila mtu ajitathimini kama yeye ni jipu au la kabla mtumbuaji hajamfikia.
 
Kiukweli asilimia kubwa ya waajiriwa especially serikalini wamefoji vyeti vya elimu zao.

Wenye vyeti vya ukweli wako mitaani wanasaga soli,
 
Mnashairi ombalikizo sikia kama litakuacha wakikukuta ukiwa ndan wanakudaka mwaya..
 
Wala sishangai mama yangu alilazimisha kustaafu akiwa 40's
 
Kweli tinga tinga analeta maajabu, jana kuna jamaa ofisini kwao wanaomba kupumzika, miaka 37?? Muajiri, sikuachi mpaka unipe vyeti nihakiki...
Huyo muajiriwa anataka kusepa haraka kabla hajatumbuliwa jipu.Mwajiri naye kastuka anataka atumbue jipu!
Spidi ya Magufuli inaleta mahangaiko makubwa kwa watu wengi hapa nchini.Kuna watakaokula krismas kitandani kwa presha!
 
Back
Top Bottom