Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Dec 24, 2012 #2 Mkuu.@hudson junior hujatueleza una umri wa miaka mingapi?Matatizo yako ya Premature ejaculation yamekutokea tangu lini? Unapiga Punyeto? na kama unapiga Punyeto tangu muda gani?Umesha kwenda Hospitali kueleza matatizo yako? Wewe unataka tu kupewa Tiba ya hayo matatizo yako ya (Kuwahi kumwaga Mapema)Premature ejaculation pasipo na kutoa maelezo yako kwa kirefu tutakutibu kivipi mkuu?
Mkuu.@hudson junior hujatueleza una umri wa miaka mingapi?Matatizo yako ya Premature ejaculation yamekutokea tangu lini? Unapiga Punyeto? na kama unapiga Punyeto tangu muda gani?Umesha kwenda Hospitali kueleza matatizo yako? Wewe unataka tu kupewa Tiba ya hayo matatizo yako ya (Kuwahi kumwaga Mapema)Premature ejaculation pasipo na kutoa maelezo yako kwa kirefu tutakutibu kivipi mkuu?
D Dispach Member Joined Dec 23, 2012 Posts 93 Reaction score 11 Dec 24, 2012 #3 hata kichwa cha somohujaweka au ndio unatulazimisha tuingie??
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,003 Reaction score 617 Dec 24, 2012 #4 kuna mambo ya muhimu yanakosekana na muhimu kufahamu kabla ya kujibu swali lako 1. umri wako 2. tatizo lilianza lini? au ndo toka ulivyo barehe? 3. ilikuja gafla au taratibu? 4. unachukua kama dakika ngapi kufikia mshindo? tuanzie hayo
kuna mambo ya muhimu yanakosekana na muhimu kufahamu kabla ya kujibu swali lako 1. umri wako 2. tatizo lilianza lini? au ndo toka ulivyo barehe? 3. ilikuja gafla au taratibu? 4. unachukua kama dakika ngapi kufikia mshindo? tuanzie hayo
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Dec 24, 2012 #5 Jinsia yako?