Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mtandao wa Vodacom umezindua huduma ya intanenti ya kasi kubwa ya 5G mapema leo 1/9/2022. Sasa kama kuna baadhi ya maeneo 3G tu haikamati hii, 4G kusumbua kwenye maeno mengi, hii 5G italeta tofauti yoyote?
Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie kasi ya intaneti imeongezeka hivyo na gharama lazima zipande?!🤪🤪
Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie kasi ya intaneti imeongezeka hivyo na gharama lazima zipande?!🤪🤪