3G Modem For Sale

3G Modem For Sale

Mau

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
176
Reaction score
10
Habari hapa ndani wakuu, Nina 3G moderm Huawei E160 inameza line zote (unlocked) ninaiuza kwa bei nzuri so mwenye kuhitaji aweza kuniPM.
Nimeinunua miezi miwili iliyopita na receipt ninayo. reason ya kuiuza ni kwamba nimepata mwenzangu ananiuzia Huawei E169 ambayo speed yake ni 7.2Mbps kwani ni kubwa zaidi ya hii niliyonayo ambayo ni 3Mbps
 
sh ngapi?
 
Back
Top Bottom