3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa

Le super mutindizzz !!le super gademuuzzz le! Le!le......."kuna mwenye tatizo huko"


[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hivi yule Mama alieteuliwa kuwa RC wa Shinyanga ni nani yake?
 
Hivi yule Mama alieteuliwa kuwa RC wa Shinyanga ni nani yake?
Mama wake wa kambo lemutuz amempita yule mwanamke almost 3yrs , mama yake hamuonyeshi amechakaa sana anaona aibu yeye anajiita bilionaire na mama mzazi anaishi kwenye kibanda cha mbavu tunduma haha.
 
dola mia tano 500 ? au dola millioni mia[ tano .mill 500? ]masikio yangu mabovu nn
 

- hahahaha mtu anayekula raha US hawezi kusumbuka na ex wake kama wewe hahaha unataabika huko majuu ndio maana unalia lia leo ndio kwanza nimerudi to my office, Miaka 30 nimerudi na Elimu pamoja na akili kubwazz ndio maana ninafanya mambo yangu na unayajua na Dunia nzima inayajua hahahaha pole sana hivi TBC wanalipa mshahara shliingi ngapi? hahahahahahahha pole sana uliayataka mwenyewe mimi naendelea na maisha, ukilalamika nitakujibu na always nitakuelimisha kwamba wewe ni mjinga huna aakili sawa sawa ndio maana nimekataa kata kata kukurudia,

- Mungu alinisaidia sana kuniondoa na wewe mke wa pili hahahahahahaha

le Mutuz
 
dola mia tano 500 ? au dola millioni mia[ tano .mill 500? ]masikio yangu mabovu nn

- Kaka nilirudi na USD $ 1000 tu, nikatumia 500 kununua Laptop ambayo imeishia kuniletea kampuni niliyonayo na kuwaajiri vijana waliomaliza Vyuo Vikuu hapa bongo, huyu mama mzee anaishi kwenye kijumba cha chumba kimoja maisha ni magumu kuja likizo bongo hawezi nilipokuwa naye kila summer nilikuwa ninamlipia na watoto anakuja bongo now hawezi tena hana kitu ndio maana analia lia ila simrudiii hata alie machozi ya damu hahahahahahaha pole sana mama

le Mutuz
 
Haha babu jinga wivu umekushika au unataka kujicompare na handsome boy wa TBC haha hujui kama yule responsible young guy anafanya kazi for fun tu na yeye mwenyewe yuko verry loaded more than u,nyumba na na magari kwake vitu vya kawaida halafu nasikia na kitandani ni balaa wewe ulikuwa unafura tumbo tu na mambo ya kike umbeya na usengenyaji Newyork nzima wanakujua walikuwa wanakuita babu nipashe haha yani wewe newyork ulikimbia kwa aibu nyingi,lemutuz usimuingize xwife wako hapa mimi sio xwife wako ila nakujua vizuri tu yani hapa kama unajizalilisha mwenyewe na watoto wako japo huwajali babu nipashe, nasikia neema anazidi kuwaka tu na kunawiri haha wewe unanunua tu machangu na kuwauza ili tu uonekane relevant mjini hahaha pole jingalao,kwanini wanawake wa newyork walikuwa wanakusuta sana haha,babu mbeya hadi mke akakupuga kibuti hahaha na USA huingii tena pole endelea tu kujizalilisha mitandaoni na selfie zako za kizee haha.
 


- Ulisikia wapi mama kizee cha miaka 51 anazidi kupendeza hahahaha tizama bataazz batannn na wabebezz wakibongo hivi wewe kimama kweli unaweza kujilinganisha na hawa wabebezz like huyu Super Model Wolper JR? hahahaha Ulidhani nikiachana na wewe maisha yatasimama? hahahaha Guys wengine jifunzeni kutoka kwa huyu mama kizee alikataa ndoa sasa analia lia JF, wewe kuweka picha na yule mume wa mtu huwezi ndio maana hujawahi kumuweka popote in the public maana unaogopa utajulikana ujinga wako, mimi i am free nakula batazzz mpaka kuku wanalia huku bongo ona huyu mtoto mbichi hivi kweli utajilinganisha na wewe kibibi cha miaka 51? hahahahahahahahahaah NAFWAZZZ U know!!

le Mutuz
 
Duh.. tuaminishe
 
Hah
Hahahaha babu chakubimbi hivi umeona huo msura wako ulivyokunjana kwa uzee na hapo ni majasho na mdomo harufu kama umekula vichwa vya kuku,sasa wewe mwenyewe unasema xwife wako ana miaka 51 na wewe umempita miaka 9 sasa ina maana una miaka 60 haha,ukiona mwenzako yuko kimya haposti upuuzi kama wewe na hata fb account yake iko verry private ujue amemove on completely na wewe bado una mauchungu so ndio maana kila mtu akikupa ukweli unafikiria ni xwife wako na ndio maana unatoa madongo na kuweka vipicha vya vichangu doa vyako haha,unafikiri neema na jamaa wa TBC wanavyojiheshimu atapost utoto kama wewe haha , jamaa wa TBC si anaokuona mara nyingi umeona hata kama ana habari na wewe zaidi ya kukuona fala tu manake watoto wako wanamuita yeye baba halafu analala kile kitanda ulichonunua wewe na mke wako uliyemgharamia na uliyekunywa sumu kwa ajili yake ndio mshkaj anapiga kwa heshima zote wewe umebaki kupiga kelele na vitoto vya visingeli instagram, pole babu nipashe wa newyork,wanawake wa newyork wanatamani urudi ili wakusute na majivu kama zamani hahaha pole babu nipashe.
 


- Hawani batazzz wanene baada ya kurudi hahahahahaha mjini hakuna babu kuna wabebezzz hahahahahaha U know tunakula maisha tu huku downtown au una tatizo? hahahahahhaa

le Mutuz
Hakuna tatizo Le akili kubwazzzz.


Ahsante.
 
Babu nipashe lemutuz madongo ya ukweli yamekuuma hadi umeamua kuandika barua kwa vitoto vyako vya instagram sababu unajua hamna wa kuku challenge pale,madongo ya ukweli yanakuuma hadi umekimbia kujibu hapa jamii forums,nina wewe hadi useme poo au ukanisemehe kwa baba manake we bado mtoto haha,umekuwa deported na hutakanyaga tena USA haha utaishia kuwaponda tu wanaume wenzako ambao bado maisha yao yanaenda vizuri tu USA wewe baki hapohapo kwenye kijumba chako cha kulipia kodi asante msajili na kuendesha mnoah wako kama ambulance huku umri ushakupita mkono na uendelee kuftuka kama chura huku chini kwako kunaendelea kushrink haha hadi mke akaenda kutafuta dogodog wa TBC sababu wewe kazi imekushinda babu nipashe haha poleee na mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…