Jamani hii issue sio ya Lemutuz na mkewe ila yeye ndio anataka ionekane hivyo au anafurahi kupata chance ya kutoa dukuduku la moyoni mwake dhidi ya mkewe sababu uchungu wa kuachwa na mwanamke uliyempenda kwa muda mrefu ambaye alikunywa sumu kwa ajili yake ni mbaya sana,uchungu wa kukimbizwa kwenye nchi ulioishi kwa zaidi ya miaka 25 na kujua huwezi kukanyava tena ni maumivu sana,uchungu wa kumuona mkeo na mwanaume mpya ambaye ana pesa chafu na handsome kushinda yeye mwenyewe na hapohapo watoto wake ndio wanamuita baba halafu baba mzazi wanamuona kama mcheza kisingeli pale uwanja wa fisi na pensi nyanya lake ni maumivu sana moyoni mwa lemutuz, huyu babu lemutuz aliwahi kulia kwenhe gari pale ukonga baada ya watoto wake kumpotezea na yule wa kike kumfokea kabisa mzee lemutuz na kumwambia ur not our father and u died the time u run away from us lemutuz uchungu ulimzidi kidogo aanguke na pressure, mimi sio xwife wake lakini ni mtu wake wa karibu sana na lemutuz tunaongea sana tangu USA hadi hapo bongo na ni mzee mwenzake lakini yeye anataka kuamisha jamii mimi ni mkewe sababu ndio mtu pekee anayemjua vizuri , Lemutuz acha hizo Neema ahusiki hapa ni wewe mwenyewe unajidhalilisha mbele ya jamii na unawadhalilisha watoto wako japo huna mawasiliano nao lakini bado ni damu yako.
- NEEMA NGWILULUPI NAOMBA NIKUJIBU KWA MARA YA MWISHO NA BAADA YA LEO SITAKIUJIBU TENA:-
Wewe ni Neema Ngwilulupi my ex wife na mama wa watoto wangu 2, ni miaka 5 sasa toka tuachane nashangaa mpaka leo unashindwa kukubali ukweli kwamba ndoa ilishaisha na aliyeikataa ndoa ni wewe mwenyewe, sasa kama kweli uliamua ukiwa ana akili sawa sawa haya makelele yanatokea wapi? Nakushangaa na kukuonea huruma sana nimekuonbea sana kwa Mungu akupatie MWanaume wa maana kama mimi kusudi usimame na kuwa stable cause itakusaidia kunisahau, lakini wapi mimi ninaishi Tanzania wewe unaishi USA lakini hata nikikohoa bongo unajua hahahahaha
- Naomba nikuambie hivi mimi nilisahakusahau wala sina shida na wewe ulipomuomba Davis aniombe nikurudie ningekuwa na shida na wewe ningekurudia, kama unayoyasema ni ya kweli kwamba nilitaka kujiua kwa sababu yako then mbona sasa sijafa? hahahaha Unajidhalilisha sana na kukimbilia huku kwenye Social MEdia kuna watu wengi sana mwanzoni walikuamini kwamba una sababu ya kukataa ndoa mpaka ulipoanza kujivua nguo huku ndio sasa watu wananipigia na kuniomba radhi kwamba walikosea sana kunihukumu bila kukufahamu tabia zako, haya unayoyaandika humu mpaka isntagram yanakuvua nguo kuwa ni mwanamke wa aina gani?
- As for me maisha yangu yanaendelea kama nilivyokuleta US nilikuwa maisha nilikuwa ninapigana na mpaka leo ninaendelea kupigana, hata ianguke mvua ya mawe siwezi kumrudia Mama mtumzima wa miaka 51 kama wewe NEVER na haitakuja kutokea, nimeshitushwa sana kusikia kwamba umeolewa mke wa pili na kubadili dini kwa mtoto wa kutoka Familia ya Mchungaji wa kwanza Mbeya hilo limenishitua sana nilidhani nilikuwa nimeoa Mwanamke mwenye Staha na heshima zake kumbe haikuwa kweli maana MWanamke mwenye heshima zake hawezi kutoka kwenye ndoa ya Kikristo na kuishia kuwa mke wa pili na kubadili dini kama ulivyofanya. Najua sasa una presha sana ya maisha kwa sababu zile biashara zako huwezi kutuma tena maana itabidi ulipie kodi na siku hizi bongo wananchi hawana hela za mchezo tena kama zamani, najua ndio sababu kubwa inayokusumbua mpaka kuja kulia lia huku JF, una matatizo ya pesa sasa si umeolewa na Bwana anatakiwa kukujali na watoto au hana kitu? Maana kwa mshahara huu wa bongo najua hawezi kukusaidia pole sana ila ni maamuzi uliamua mwenyewe.
- Mimi huku Bongo nimefungua kampuni yangu, nina ofisi yangu Posta mpya, ninatoa ajira kwa vijana ndio kwanza nimerudi kutoka Lagos na Dubai kikazi next week nitakuwa MWanza kikazi na nikirudi nitaenda South Africa kikazi na nikirudi nitaenda UK kikazi pia, yanayokukuta kweli nakuonea huruma maana mtumzima mwenye maisha yake mazuri hawezi kuja kulia lia huku maana yake ni moja tu crying for help, najua hata hapo kazini kwako Ubalozini wanakuonea huruma tu kukufukuza kazi maana kwa kuandika andika huku mfanyakazi wa Ubalozi unaharibu jina la Ofisi na ni against the Government Policies naomba Mungu waendelee kukuonea huruma maana ukirudi huku bongo sijui utafanya nini maana hata huyo mume aliyekuoa hana pa kukaa anaishi kwenye nyumba ya mke mkubwa sio yake na huko TBC aliko soon watapunguzwa so muombe sana Mungu ubaki hapo kazini maana ukirudi huku yatakuwa majanga.
- Eti una mwanaume mwenye pesa chafu? hahahahah mfanyakazi wa TBC aanayetunzwa na mkewe all his life na sasa unamtunza wewe ndio unasema ana hela chafu? Mwanaume mwenye hela chafu anaweza kukubali kuja huko na kubebeshwa sabuni na mafuta ya wanawake kuja kuuza huku ndio mle? hahahahaha hii imenivunja sana mbavu hahahahahahah
- AGAIN NAKUTAKIA MAISHA MEMA SANA ILA ACHANA NA MIMI NA KUANZIA LEO SITAKUJIBU TENA ANDIKA UNAVYOTAKA MAANA NINA MAMBO MENGI MUHIMU NA MAKUBWA YA KUFANYA FOR MY LIFE!!
le Mutuz