3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa

Congcong Wang hana simu bro..Labda nikupe adress ya kwao
Haha no way bro plan B inabidi ihusike

Hiyo adress mzee Wang anaweza kudaka barua ikaleta shida
 
SERIOUSE QUESTION:
Is William Malecela "Le Mutuz" real sane?
His age vs his character/behavior are genuinely questionable.
 
Kweli we msaga sumu

Nimecheka sana Hapo kwenye utajiri wa kutisha dola 500 baada ya kukaa huko miaka 30
 
Jf kuna raha sana dola 500 kwa miaka 30_ kwa hiyo kila mwaka aliwekeza dola 16.6
 
Ongera mkuu le mtuzi kwa kutimiza umri huu cjui mlifanyia wapi aisee
 
Hahahaha...mkuu Reimundo umenibamba

nilikua tight na mihangaiko nikaomba complimentary yangu apewe Kaboom au mwanaye Heaven Sent na hawajanipa mrejesho mpaka sasa
Aisee mkuu kwanini uliikataa hiyo fursa adhimu hivyo? Hukutaka kukutana LE AKILI KUBWAAZ? Na mabilionea!
 
Msaga sumu sijui nikufananishe na nini
Umenichekesha
 
Hivi kweli kabisa girlfriend wake anakubali le mutuz kuvaa hivi-maana hizi fito sio utani
 
Kweli bongo tambarare miaka 30 karudi na dola jero...ndio mtoto wa kiongozi mbulula kuliko wote na ambae anaishi kwa udananda
 
Hakwenda na ambulance yake ile nyeusi... Yenye chata la le_ mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…