afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Hahahhahahahhaah duhhhhhsiku ya anniversary alikuwa aliomba mbebez wa kujitolea kulala naeView attachment 326773
Kuna watu wana moyo kwa kweli .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahahahhaah duhhhhhsiku ya anniversary alikuwa aliomba mbebez wa kujitolea kulala naeView attachment 326773
umefichwa?Jamaniiiiii haaa
Haha nilitaka kwenda mkuu ila niliposika CongCong Wang hataudhuria ikabidi niipotezee tuAisee mkuu kwanini uliikataa hiyo fursa adhimu hivyo? Hukutaka kukutana LE AKILI KUBWAAZ? Na mabilionea!
HahahahahaaaNasikia huyo jamaa ni mtu wa majungu sana na kuwadi wa kuuza wasichana mtandaoni kupitia blogu yake. Ila kidogo ana akili, aliweza kurudi Bongo na dola 500 alizosevu Zaidi ya miaka 30 aliyoishi nje ya nchi.
Msaga Sumu hapa umetumia bonge la fasihi , haaaaa ajitegemee naulijana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha uliofikia dola 500 baada ya kukaa huko miaka 30.
Sherehe hiyo iliambatana na kufungwa kwa barabara kadhaa huku askari wakitawanywa kila kona ili kumhakikishia usalama muwekezaji huyo ambapo askari hao walitumia helkopta,farasi na magari maalum.
Muwekezaji huyo aliyeshindwa kuingia Dubai baada ya shirika la ndege kumwambia ajitegemee nauli,ambapo alisema kwa sasa yuko vibaya financially kabla ya kupata sponsor mwingine ambaye alikubali kumlipia nauli lkn kama atakubali kwenda Sokoto Nigeria na sio Dubai tena.
Sherehe hiyo ilifana zaidi baada ya viongozi wa kiserikali waliposhauri Lemutuz apate usajiri kutoka brela ili Wakenya wasije wakasema Akili kubwa anatoka Nakuru.
Mpaka leo mchana muwekezaji huyo alikuwa double tree by Hilton akipata coffee kwa ajili ya kuchangamsha Le Ubongozz kabla ya kuja na live straight talk
jana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha uliofikia dola 500 baada ya kukaa huko miaka 30.

Unaogopa wakenya watasema ya kwao??? Hahaaa u knowTeh Teh hivi hii live straight talk ameisajili COSOTA?
jana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha uliofikia dola 500 baada ya kukaa huko miaka 30.
Sherehe hiyo iliambatana na kufungwa kwa barabara kadhaa huku askari wakitawanywa kila kona ili kumhakikishia usalama muwekezaji huyo ambapo askari hao walitumia helkopta,farasi na magari maalum.
Muwekezaji huyo aliyeshindwa kuingia Dubai baada ya shirika la ndege kumwambia ajitegemee nauli,ambapo alisema kwa sasa yuko vibaya financially kabla ya kupata sponsor mwingine ambaye alikubali kumlipia nauli lkn kama atakubali kwenda Sokoto Nigeria na sio Dubai tena.
Sherehe hiyo ilifana zaidi baada ya viongozi wa kiserikali waliposhauri Lemutuz apate usajiri kutoka brela ili Wakenya wasije wakasema Akili kubwa anatoka Nakuru.
Mpaka leo mchana muwekezaji huyo alikuwa double tree by Hilton akipata coffee kwa ajili ya kuchangamsha Le Ubongozz kabla ya kuja na live straight talk

Raimundo, Nifah Ruttashobolwa Kaboom Benny jamani kama kuna mtu ana swali uko aulize mapema kabla Le big show ajaingia gym kupasha Le Ubongozz
Le Mutuz Nation with Miraj Kikwete live!!
- Guy thank you for this, ni kwamba Sherehe zilifanyika salama kama zilivyopangwa na hizo picha ni baadhi ya Wageni Waalikwa wakiwa ukumbini Hyatt Kilimanjaro Hotel, ilikuwa niondoke Tarehe 28/2/2016 kwenda Dubai kwa Mualiko wa Emirates Airlines nikawaomba wasogeze muda kidogo nimalize sherehe zangu kwanza,
1. Kesho usiku nitaondoka Hapa kwenda Lagos/Nigeria kwa mualiko wa African Magic/Multichoice ambako ninatakiwa kwenda kuripoti back sherehe za "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" wamekuwa impressed na my Social Media works so wamenipa kazi yakwenda kuzitangaza Sherehe hizi kwenye my Social Media tools ambazo ni Facebook, Instagram, Twitter, Blog na sasa nimeingia pia mpaka youtube, kwa siku nina uwezo wa kuwafikia viewers 500,0000
2. Lagos nitarudi tarehe 7, na tarehe 8 nitaondoka kuelekea Dubai kwa mualiko wa Emirates Airlines ambao nao pia wamekuwa impressed na my Social Media works so wameniita kufanya kazi ya kuripoti Sherehe zao zitakazofanyika kwa siku 4 mfululizo na pia watanipa mkataba mpya wa kuwatangaza kibiashara.
- Otheriwise, nitakaporudi tayari our new Radio Station in Morogoro itakuwatayari kuanza kazi na pia tutakuwa kwenye makamilisho ya TV Station yetu kuanza kazi at Sinza, so you seee I ma busy na kazi, nawashkuru sana kwa kunifuatilia sana habari zangu inagwa huwa mnaziandika kwa kukosea lakini I love it free media covarage!!
le Mutuz Nation
Haaaa haaaa haaaaa amejitahidi mpaka karudi na dola 500 sio mchezo
- Nilipokuwa mbelezz pesa yote nilikuwa nalipia shule mpaka kupata Degree 3, bongo nilirudi na USD $ 1,000 tu ambazo $500 nilinunua Laptop GMO ambayo niilitumia kufungua Blogu ya Wananchi ambayo sasa Miaka 3 later ni Kampuni iliyosajiliwa na inatoa jaira kwa Vijana 4 waliomaliza Vyuo Vikuu hapa bongo na ina ofisi downtown posta mpya na sasa ninaelekea kwenye Radio na TV, ndio maana ya AKILI KUBWAZZ Mbelezz hhuhitaji kurudi na PESA hapana unarudi na AKILI KUBWAZZ kama nilizorudi nazo, hahahahahaha jamani thanks ila mtanisikia reporting from Lagos U know!!
le Mutuz
Je kuna mwenye swali, naona watajibiwa wote humu..
Langu mmoja tu,
Hao 500,000 viewers una wa calculate vp boss, maana your followers hardly wanafika half ya hio 500k insta, facebook na huko kwengine ndio kabisa.
Sasa kama wewe unafikiwa na 500,000. Millard ayo nae c itabidi ajiite " LORD OF ALL SOCIAL MEDIA"
Nawasilisha, naomba usiniblock tu na humu( oh wait...... YOU CAN'T 😀)