3rd Anniversary ya Blogu ya Wananchi, Nchi ilisimama kwa masaa kadhaa

Kwa maelezo yake ni kwamba yeye kaongeza milioni 3(3mill) kwenye 2,997,000,000/= (bilioni mbili na milioni mia tisa tisini na saba) za Davis Mosha. (Kichekesho)
Haha tumsamehe tu akikua ataacha
 
hahahahahaaaaaaa sasa hapo AKILI KUBWAZZ kwenye maziwa ya ASAS hapo nakataa kabisa kwani tulikaaa muda mrefu tangia 2 asubuhi mpaka mchana tukala chakula chipsi, ndizi na kuku na soda na maji mpaka ukatuomba msamaha kwa hawa asas kuchekelewa kuja pale, hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa kwenye maziwa umewrong number akili kubwazzzz bwana mm mwenyewe nilikuwepo seminani
 

- Nimesema maziwa yaligawiwa kwenye press Conference, mbona hujasema kuwa mlipewa nauli ya kurudia nyumbani washiriki wote hahahahahaha, ipi bora maziwa au nauli Buku tano tano mlizopewa? hahahahaha

le Mutuz live from Lagos/Nigeria
 

- Well, nipo Lagos Nigeria kikazi on DSTV Tanzania na narudi Jumapili Usiku, Jumatatu naruka tena kwenda Dubai kikazi Dubai on Emirates Airlines, pole sana nilikuambia huwezi kufanikiwa kwa kujiuza kwa mume wa mtu haya ndio matokeo yake hahaha pole sana mimi maisha yanaendelea divorce uliitaka mwenyewe kumbe ulikuwa unatingisha kibiriti? hahahaha umekikuta kimejaa,

- Ninaishi kwenye 3 bedrooms apartment, sio kibanda wala anything hahahahaha utalia huku JF mpaka utachoka sikurudii mama pole sana!!

le Big Show live from Lagos/Nigeria
 
Kwa maelezo yake ni kwamba yeye kaongeza milioni 3(3mill) kwenye 2,997,000,000/= (bilioni mbili na milioni mia tisa tisini na saba) za Davis Mosha. (Kichekesho)

- Jamani by the way nipo Lagos kikazi halafu natakiwa kuunganisha to Dubai, ofisi yangu ipo kwenye ukarabati so nitakuwa free kuwajibu tena in three weeks sasa hivi nipo busy huku nje ya nchi kuwakilisha taifa hahahahahahah

le Mutuz live from Lagos/Nigeria
 

- Ulienda kumlilia Davis aniombe nikurudie, ukammwabia "Davis wewe ndiye unayemuweka hapa mjini ukisema mruie mkeo atarudi hatakuwa na ujanja" hahahahahah muulize nilimjibu nini hahahahahahahahah

le Mutuz
 
Dah aisee, inabidi tuombe radhi wengine, maana kama ni 60 yrs. Tumemkosea heshima, inatupasa tuwe na adamu jamani.

- Mwanamke kakosea step, alitaka kutingisha kibiriti kakuta kimejaa sasa anahangaika mara miaka mara Davis hahahahahah mimi nipo Lagos napiga kazi, nikitoka huku Dubai kazi tupu hamna longo longo, huyu mama attalufa na baridi huko majuu senti tano hana pole sana hahahahahahaha

le Mutuz live @Lagos/Nigeria
 
Yani wewe babu lemutuz yani ukiambiwa maneno ya ukweli tu haswa swala la umri wako na maisha basi unaona ni xwife wako ndio ametoa siri,acha upopo mzee lemutuz ushakuwa mzee sasa miaka60 just around the corner hebu kuwa na busara manake hata vitoto vya visingeli kama kina dogo janja na nuhu mziwanda wana akili kukushinda,wewe straight talking guy umepewa ukweli umekuingia unashindwa kujibu sasa huna cha kujibu umeumia sana moyoni unabaki kubwabwaja kama uko kwa Davis Mosha akikulisha mtori na nyama choma haha,unamuita xwife kwenye mitandao eti hana hata senti moja na wakati yeye ndio anawahudumia watoto wako kwa kila kitu wewe mwanaume suruali tu hujui hata bei ya boxer ya Agapeo na pedi za Leona zinauzwa dollars ngapi haha na bado unajisifu wewe billionaire in the making haha hebu nipe mfano mmoja nani amewahi kuwa bilionaire baada ya kugota 55yrs na bado anaishi kwenye kijumba cha msajili chumba kimoja na anaendesha ambulance aliyopewa msaada na Dume la mbegu Davis Mosha haha pole utakuwa mdananda wa Davis hadi siku ukifukiwa bila hata ya watoto wako kuja kaburini kwako kukuaga haha pole babu jinga acha kumpakazia mke wako na wakati hata hana time tena na wewe ameshamove on ana new partner in life ambaye watoto wako wanamuita daddy nadhani wewe ndio una maumivu bado sababu kila siku lazima umtaje na kuonyesha how hurt u still are ndio maana kila siku unaweka vipicha vyako na vitoto vya chuo na vichangudoa vya sinza na magomeni kuonyesha kama wewe bado handsome unapendwa kumbe wanakuona mjinga wanakucheka babu jinga lisilokuwa haha pole baba swalehe.
 
- Nimesema maziwa yaligawiwa kwenye press Conference, mbona hujasema kuwa mlipewa nauli ya kurudia nyumbani washiriki wote hahahahahaha, ipi bora maziwa au nauli Buku tano tano mlizopewa? hahahahaha

le Mutuz live from Lagos/Nigeria
hahahahaaaaaaaa uwiii jamani nicheke ninenepe mie
maziwa ndo habari ya mujini kwani ndo yenye afya
 



















- Ok ndio kwanza nimerudi toka Lagos, kesho naruka tena kwenda Dubai pole sana na maumivu ila haya ndio maisha yangu juu ni ukarabati wa ofisi yangu sasa hivi, chini ni ofisi yangu zamani. Halafu tizama mabebezz ninaokula nao batazz jipime tu hata kidogo kama kuna unayefanana naye at 51 years Old, now jiulize ni Mwanaume gani Duniani anayeweza kuoa Mama mtumzima kama wewe? hahahahahahahah U know!! pole sana na maumivu U know hahahaha mimi my life goes on kama kawa utalia huku JF hakuna wa kukusaidia unajidhalilisha tu, hakuna Mwanamke anaweza kushindana na Mwanaume unless Mwanaume awe mjinga mjinga hapa umepiga mwamba umeona mtoto wangu mpya kutoka Kenya hapa chini mwenye gauni la kitenge haya jilinganishe hahahahahahahahaha WAFWAZZZZ

le Mutuz
 
Hahaha yani wewe babu kweli mke wako bado anakuumiza roho yani bado tu unanifikiria mimi nimke wako haha acha uboyo au kwa sababu nakupa vitu vya ukweli,badala kujibu hoja wewe unaonyesha mbao za office mara vipicha picha kama mtoto oh sorry kumbe akili yako bado inafikiri kama mtoto wa nursery haha pole sana bro,kumbe x wife ana miaka 51 kama unavyosema na wewe umempita miaka9 kwa hiyo ni kweli tumethibitisha sasa wewe ni miaka sitini duh shikamoo babu,miaka sitini halafu bado mdananda wa Davis mosha ambaye hata arobaini bado duh we mzee kweli hasara lakini haulaumiki kwa sababu una laana ya watoto wako ndio hawana time na baba wa visingeli kama wewe pole sana baba swalehe ukikuwa utaacha lakini suala la wewe kuwa bilionaire ukiwa na miaka sitini na account yako ina less than milioni 19 tsh na gari la ambulance na kijumba cha msajili sahau u bilionaire utaona kwa Davis tu otherwise we kubali tu kuwa mdanandanaire haha
 






- Unafikiri ukarabati wa hii ofisi unaweza kugharimu kiasi gani wewe mama kizee? hahahahaha Miaka 51 unahangika mitandao kumutukana baba wa watoto wako aliyekupeleka Marekani akakusaidia kurudi ulipokuwa deported, kakutunza miaka 5 bila kazi USA, mpaka alipokutafutia kazi Ubalozini, uliwahi kusikia wapi kifaranga wa kuku akawa mjanja kuliko kuku mwenyewe? hahahahaha waliokuponza wanakucheka sasa maana Mama mtumzima miaka 51 utaolewa na nani? hahahahaha

- Utabakia hivyo hivyo kukokota wanaume wa watu na kuwatumia tiketi waje huko kula pesa za watoto unazopewa na Serikali hahahahahah



- Now tizama huyu mtoto Super Model mbichi kabisa hahahahaha wewe piga piga kelele huku mimi ninakula batazzz na siangalii nyuma never!!, halafu waambie ndugu zako waache mchezo wa kuniiita shemeji mpaka leo maana sina anything to do na wewe ever nilifanya makosa makubwa sana lakini kosa sio kufanya kosa ila kurudia,

- Wanawake mburulazzz kama wewe ndio mfano kwa jamii, Mwanamke aliyefundwa na wazazi anawezaje kujidhalilidha kwenye mitandao kama wewe? halafu imagine kuna Mwanaume kama mimi niliwahi kuishi na wewe kama mke inasikitisha sana ndio maana Mungu alinonea hiuruma akanitoa huko akanirudisha bongo na sasa maisha ni raha tupu kama nilivyokuwa kabla sijakuoa, Mungu alinionea huruma sana pole sana sasa imagine Mama mtumzima watoto 2 miaka 51 kwenye hii dunia unaolewa na nani? hahahahahahahahah

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…