Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Waah, Ok your level of understanding is not what I imagined would be. So we are now suffering brain drain of specialist docs so we import from cuba? Wacha niwachie hapo am shockedThats why Kenyan doctors are now paid the equivalent of what SA, Namibian doctors are paid, So that they dont have do costus brain drain, by leaving the contry for better pay
Funga mjadala, Huyu hana anacho sema ama kuelewa..Kuwa na usiku mwemaMbona inaonekama kama bado hujavunja ungo?, akili zako ni za kitoto sana, mimi nimekuletea vitu vinavyotumika kuonyesha Tanzania imeizidi Kenya, kama vile Hospitali kubwa zenye vifaa vya kisasa na aina ya operation na idadi ya operations zinazofanyika, wewe badala ya kujibu kwanza hizo nilizokuletea, wewe unaleta vitu vingine ambavyo havionyeshi ubora na kiwango cha service inayotolewa.
Kama una idadi kubwa ya specialists lakini huna Hospital bora au vifaa vya kisasa inasaidia nini?. Onyesha ni procedure zipi hao specialists walizofanya kuzidi Tanzania, we need output sio idadi ya specialists ambao hawafanyi kazi yoyote.
Nimekutajia 1)cancer Hospital inayohudumia wagonjwa wote wa east and central Africa(tangible output), Cardiac Institute inayohudumia the whole region(tangible output), nimekuambia tunafanya cochlear inplant surgery(Kenya hamfanyi na wala hamna uwezo wa kufanya), sasa hiyo idadi ya specialist inasaidia nini kama wananchi wenu wanakuja kutibiwa Tanzania?. Kwa taarifa yako, hizo data unazotumia ni more than 7 years old, tafuta za hivi karibu uone Magufuli alivyoibadilisha Tanzania. Tanzania is far ahead of Kenya in medical field. SHOW US WHICH MEDICAL PROCEDURE THAT ARE DONE IN KENYA BUT TANZANIA CAN NOT.
Asante sana nimekuelewa, anatupotezea calories zetu tu.Funga mjadala, Huyu hana anacho sema ama kuelewa..Kuwa na usiku mwema
Nchi ya ku churn out 1,000 doctors lakini hakuna specilist?Mbona inaonekama kama bado hujavunja ungo?, akili zako ni za kitoto sana, mimi nimekuletea vitu vinavyotumika kuonyesha Tanzania imeizidi Kenya, kama vile Hospitali kubwa zenye vifaa vya kisasa na aina ya operation na idadi ya operations zinazofanyika, wewe badala ya kujibu kwanza hizo nilizokuletea, wewe unaleta vitu vingine ambavyo havionyeshi ubora na kiwango cha service inayotolewa.
Kama una idadi kubwa ya specialists lakini huna Hospital bora au vifaa vya kisasa inasaidia nini?. Onyesha ni procedure zipi hao specialists walizofanya kuzidi Tanzania, we need output sio idadi ya specialists ambao hawafanyi kazi yoyote.
Nimekutajia 1)cancer Hospital inayohudumia wagonjwa wote wa east and central Africa(tangible output), Cardiac Institute inayohudumia the whole region(tangible output), nimekuambia tunafanya cochlear inplant surgery(Kenya hamfanyi na wala hamna uwezo wa kufanya), sasa hiyo idadi ya specialist inasaidia nini kama wananchi wenu wanakuja kutibiwa Tanzania?. Kwa taarifa yako, hizo data unazotumia ni more than 7 years old, tafuta za hivi karibu uone Magufuli alivyoibadilisha Tanzania. Tanzania is far ahead of Kenya in medical field. SHOW US WHICH MEDICAL PROCEDURE THAT ARE DONE IN KENYA BUT TANZANIA CAN NOT.
Kwa research uko poaThere are 4 transplants done in Tz (aatleast in public knowledge) of these, the firstand the second were led by foreigners as shown in those pictures and told in the articles I got them from... hence the 50% claim
On the other hand KNH does atleast 2 kidney transplants everymonth since ealry 2000's ... thats 24 transplants every year. And now Mbagathi and MTRH also started doing transplants
At the country’s only public kidney transplantation unit of Kenyatta National Hospital, there are about 200 patients on the waiting list. On average the renal unit does two transplants in a month.
Law now makes it easier for Kenyans to donate body organs
And then someone claims that they are better at it than us