4.5km Ngong rail tunnel to be ready in August

Ndiyo hamna funds inabidi phases zivunjwevunjwe zaidi maana Mchina kapatwa na hofu ya kutoa fedha baada ya Mganda kutoonesha commitment name SGR ya diesel.
SGR hapa East Africa ni moja na ipo Kenya. Hizo zingine ni renders tu. Huo ndio ukweli hata kama mchungu itabidi musome namba na kukubali Kenya ndiye kiongozi wenu mpende msipende. Danganyikans you will never accomplish what Kenya has for Centuries to come hata vitukuu wa vitukuu wenu wataimba na kuisifu Kenya. Sisi ni Nyang'au na nyinyi ni Danganyikans...Very useless people. joto la jiwe, mulisaaa , this dayes , tuusan , MOTOCHINI , ichoboy01 kadoda game over .
 
Unaroho ngumu aisee
Hivi unaanzaje kujivunia Dude lakupandia Ngazi kama unapanda Ghala la mahindi!!
 
naona unavyo jipa mwoyo pole sana. Lugha yako itabadilika mda sio mrefu
 
Kenya ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu diesel trains, Tanzania ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu train zinazo tumia umeme na diesel. Spot the difference
 
Kenya ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu diesel trains, Tanzania ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu train zinazo tumia umeme na diesel. Spot the difference

Tanzania itakua ya kwanza kivipi ilhali hadi sasa bado hatujaona hiyo reli, hadi siku tuone chochote cha maana ndio tutawachukulia serious, maana nyie ni wale wale Waswahili.
Halafu likija suala la SGR ya umeme labda mtaje Ethiopia maana wao inatumika japo kwa changamoto za umeme.
 
Hahaa..nime kushika pabaya, Mwanzo ulivyo sema Kenya ndiyo ya kwanza E.A mbona hukuitaja Ethiopia! Ovyo sana wewe
 
Hahaa..nime kushika pabaya, Mwanzo ulivyo sema Kenya ndiyo ya kwanza E.A mbona hukuitaja Ethiopia! Ovyo sana wewe

Kenya ndio ya kwanza, mimi nilikua nakujibu sgr ya umeme Ethiopia ndio ya kwanza. Nyie bado sana.
 
Kenya ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu diesel trains, Tanzania ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu train zinazo tumia umeme na diesel. Spot the difference
Tz itakuwa ya kwanza kujenga electric train kwa renders.
 
Kenya ndio ya kwanza, mimi nilikua nakujibu sgr ya umeme Ethiopia ndio ya kwanza. Nyie bado sana.
2019 ndiyo bado sana!! Halafu umekuja kumwondolea aibu boya mwenzako Mwasiti, yeye amesema SGR E.A iko Kenya tu, nilivyo ongelea ishu ya electric mnaileta Ethiopia! Mwanzo mli hisau ili agenda yenu ipendeze.. [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyinyi jamaa ovyo sana
 
Hili dude watu wanalichukulia poa ila lina Horn Kali balaa
View attachment 731053
Weka Picha ya hiyo yenyu tuweze kuiona.

SGR haiko Tz that's a painful fact. mkiweka yenyu unitag tafadhali.
 
Weka Picha ya hiyo yenyu tuweze kuiona.

SGR haiko Tz that's a painful fact. mkiweka yenyu unitag tafadhali.
Ugulia maumivu taratibu, next year itabidi mrudi Kenya talk tu [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…