Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hamna funds inabidi phases zivunjwevunjwe zaidi maana Mchina kapatwa na hofu ya kutoa fedha baada ya Mganda kutoonesha commitment name SGR ya diesel.
SGR hapa East Africa ni moja na ipo Kenya. Hizo zingine ni renders tu. Huo ndio ukweli hata kama mchungu itabidi musome namba na kukubali Kenya ndiye kiongozi wenu mpende msipende. Danganyikans you will never accomplish what Kenya has for Centuries to come hata vitukuu wa vitukuu wenu wataimba na kuisifu Kenya. Sisi ni Nyang'au na nyinyi ni Danganyikans...Very useless people. joto la jiwe, mulisaaa , this dayes , tuusan , MOTOCHINI , ichoboy01 kadoda game over .Hahaa.. sasa hapo mbona huja jibu swali langu! Project gani isiyo kua na time frame, its like you are flying blind! I am sad and sorry for Ug, Uhuru is not in the Pro league of Magu & Kagame one can easily tell by the look of his face leave alone his acts. Uganda anachezwa by a conist grp called Uhuruto. I hope realisation comes sooner for M7 and he joins hands with Men and leave the Uhuruto boys with their childish games of "diesel electrical"
Unaroho ngumu aiseeSGR hapa East Africa ni moja na ipo Kenya. Hizo zingine ni renders tu. Huo ndio ukweli hata kama mchungu itabidi musome namba na kukubali Kenya ndiye kiongozi wenu mpende msipende. Danganyikans you will never accomplish what Kenya has for Centuries to come hata vitukuu wa vitukuu wenu wataimba na kuisifu Kenya. Sisi ni Nyang'au na nyinyi ni Danganyikans...Very useless people. joto la jiwe, mulisaaa , this dayes , tuusan , MOTOCHINI , ichoboy01 kadoda game over .
naona unavyo jipa mwoyo pole sana. Lugha yako itabadilika mda sio mrefuSGR hapa East Africa ni moja na ipo Kenya. Hizo zingine ni renders tu. Huo ndio ukweli hata kama mchungu itabidi musome namba na kukubali Kenya ndiye kiongozi wenu mpende msipende. Danganyikans you will never accomplish what Kenya has for Centuries to come hata vitukuu wa vitukuu wenu wataimba na kuisifu Kenya. Sisi ni Nyang'au na nyinyi ni Danganyikans...Very useless people. joto la jiwe, mulisaaa , this dayes , tuusan , MOTOCHINI , ichoboy01 kadoda game over .
Kenya ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu diesel trains, Tanzania ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu train zinazo tumia umeme na diesel. Spot the differenceSGR hapa East Africa ni moja na ipo Kenya. Hizo zingine ni renders tu. Huo ndio ukweli hata kama mchungu itabidi musome namba na kukubali Kenya ndiye kiongozi wenu mpende msipende. Danganyikans you will never accomplish what Kenya has for Centuries to come hata vitukuu wa vitukuu wenu wataimba na kuisifu Kenya. Sisi ni Nyang'au na nyinyi ni Danganyikans...Very useless people. joto la jiwe, mulisaaa , this dayes , tuusan , MOTOCHINI , ichoboy01 kadoda game over .
Kenya ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu diesel trains, Tanzania ni ya kwanza kujenga Sgr rail inayo ruhusu train zinazo tumia umeme na diesel. Spot the difference
Hahaa..nime kushika pabaya, Mwanzo ulivyo sema Kenya ndiyo ya kwanza E.A mbona hukuitaja Ethiopia! Ovyo sana weweTanzania itakua ya kwanza kivipi ilhali hadi sasa bado hatujaona hiyo reli, hadi siku tuone chochote cha maana ndio tutawachukulia serious, maana nyie ni wale wale Waswahili.
Halafu likija suala la SGR ya umeme labda mtaje Ethiopia maana wao inatumika japo kwa changamoto za umeme.
Hahaa..nime kushika pabaya, Mwanzo ulivyo sema Kenya ndiyo ya kwanza E.A mbona hukuitaja Ethiopia! Ovyo sana wewe
Hili dude watu wanalichukulia poa ila lina Horn Kali balaaTz itakuwa ya kwanza kujenga electric train kwa renders.
2019 ndiyo bado sana!! Halafu umekuja kumwondolea aibu boya mwenzako Mwasiti, yeye amesema SGR E.A iko Kenya tu, nilivyo ongelea ishu ya electric mnaileta Ethiopia! Mwanzo mli hisau ili agenda yenu ipendeze.. [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyinyi jamaa ovyo sanaKenya ndio ya kwanza, mimi nilikua nakujibu sgr ya umeme Ethiopia ndio ya kwanza. Nyie bado sana.
Weka Picha ya hiyo yenyu tuweze kuiona.Hili dude watu wanalichukulia poa ila lina Horn Kali balaa
View attachment 731053
SGR haiko Tz that's a painful fact. mkiweka yenyu unitag tafadhali.2019 ndiyo bado sana!! Halafu umekuja kumwondolea aibu boya mwenzako Mwasiti, yeye amesema SGR E.A iko Kenya tu, nilivyo ongelea ishu ya electric mnaileta Ethiopia! Mwanzo mli hisau ili agenda yenu ipendeze.. [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyinyi jamaa ovyo sana
Weka Picha ya hiyo yenyu tuweze kuiona.
SGR haiko Tz that's a painful fact. mkiweka yenyu unitag tafadhali.
Hahahaha! Hii nayo ni ya kusafirisha chipsi mayai Dodoma? Hebu weja Picha watanzania wakiwa ndani.View attachment 731333Ugulia maumivu taratibu, next year itabidi mrudi Kenya talk tu [emoji1]