4 Bedrooms House

Mlango wa kuingilia ndani kutokea verranda ya kitchen ungeufungulia kwa nje na mlango wa kuingilia master bedroom ufungue kwa upande mwingine
 
Noted mzee, jambo njema sana hilo. Sikuliwaza kabisa
 
Mlango wa kuingilia ndani kutokea verranda ya kitchen ungeufungulia kwa nje na mlango wa kuingilia master bedroom ufungue kwa upande mwingine
Mlango wa jikoni ukifungukia nje, geti la grili atalifungua aje akiwa ndani?
 
It depends na Aina ya mlango anaotumia itakua hujacope na teknolojia maana tuna mlango unakiwa umetengenezwa kwa chuma na vioo unaondoa gharama za kuwa na grili + mlango wa mbao
 
Sina ushauri ila usisahau kununua walau ka ist kwaajili ya mizunguko ya ndani maana safari ya kutoka master bed room mpaka sitting ni ndefu mno.

Pia kwenye kona weka mageti ya ushuru na vituo vya traffic.
 
Daaah wee mjaamaa ni falaaa na nusu aiseee...[emoji3][emoji3]
 
Veranfa ya nje ni kubwa sana, pia aina hii ya ramani inataka sehemu yenya upepo mwingi kwa mbele, vinginevyo joto litatesa sebleni kiasi cha kukufanya mwenyewe uikimbie uwe unakaa muda mwingi kwenye hiyo veranda ya mbele. Panga pangua sebleni pawe hapo dinning. Au itokeze kwa mbele na kuwe na muongezeko wa madirisha.
 
Sina ushauri ila usisahau kununua walau ka ist kwaajili ya mizunguko ya ndani maana safari ya kutoka master bed room mpaka sitting ni ndefu mno.

Pia kwenye kona weka mageti ya ushuru na vituo vya traffic.
Umempa wazo zuri ila sasa kwa IST itamlazimu corido iwe pana mno, hapo nafikiri amuajiri boda boda awe anakaa hapo sebleni muda wote. Akitaka kwenda chumbani anamwambia bodaboda "oya mwanangu washa chombo unipeleke chumbani chap"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…