steph felix
Member
- Jul 26, 2015
- 33
- 21
Wadau mnaweza toa maoni yenu kuhusu ramani hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye nyumba mbona anazunguka sana mpaka kufika sebuleni
Noted mzee, jambo njema sana hilo. Sikuliwaza kabisaMlango wa kuingilia ndani kutokea verranda ya kitchen ungeufungulia kwa nje na mlango wa kuingilia master bedroom ufungue kwa upande mwingine
Pamoja sanaNoted mzee, jambo njema sana hilo. Sikuliwaza kabisa
Mlango wa jikoni ukifungukia nje, geti la grili atalifungua aje akiwa ndani?Mlango wa kuingilia ndani kutokea verranda ya kitchen ungeufungulia kwa nje na mlango wa kuingilia master bedroom ufungue kwa upande mwingine
It depends na Aina ya mlango anaotumia itakua hujacope na teknolojia maana tuna mlango unakiwa umetengenezwa kwa chuma na vioo unaondoa gharama za kuwa na grili + mlango wa mbaoMlango wa jikoni ukifungukia nje, geti la grili atalifungua aje akiwa ndani?
Daaah wee mjaamaa ni falaaa na nusu aiseee...[emoji3][emoji3]Sina ushauri ila usisahau kununua walau ka ist kwaajili ya mizunguko ya ndani maana safari ya kutoka master bed room mpaka sitting ni ndefu mno.
Pia kwenye kona weka mageti ya ushuru na vituo vya traffic.
Boss hii ramani ya huu mjengo ni ukubwa gani ?
Ndio faida ya kuwa na nyumba kubwa, pia ukipita unasalimia wa njiani, sio wao wakusalimie ukiwa bizy na mkeo.Mwenye nyumba mbona anazunguka sana mpaka kufika sebuleni
Umempa wazo zuri ila sasa kwa IST itamlazimu corido iwe pana mno, hapo nafikiri amuajiri boda boda awe anakaa hapo sebleni muda wote. Akitaka kwenda chumbani anamwambia bodaboda "oya mwanangu washa chombo unipeleke chumbani chap"Sina ushauri ila usisahau kununua walau ka ist kwaajili ya mizunguko ya ndani maana safari ya kutoka master bed room mpaka sitting ni ndefu mno.
Pia kwenye kona weka mageti ya ushuru na vituo vya traffic.