4 teacher

4 teacher

abdala mbuya

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
83
Reaction score
9
WAALIMU, icho walichoweka kwenye mshaara ndo INCREMENT au NEW SALARY? uko wapi umuhimu wa CWT? mbona tunanyanyasika hivi jamani?
 
Na wewe ni mwalimu?
au mwanaharakati kama ni mwalimu BRN itafanikiwa
 
Back
Top Bottom