niliwahi kupigwa na bfrnd, tena kwa mambo ya kijinga ya wivu wivu tu, mara ya kwanza alini slap tu nikajua kapitiwa, mara ya pili ndio alinipiga ile kupiga kama vile anapigana na mwanaume mwenzie, nilitoka hapo kutembea cwez, ukangalia alama za mkanda ndio balaa, huyu nilimtamkia hapo hapo kwamba dk hii ulivyomaliza kunipiga ndio mwisho we2 na ilikuwa kweli, alibembeleza sana tu lakini wapi, kwa mr ana hacra za kumtosha tunalumbana vya kutosha, lakini yeye ana ile atatoka kwenda anakikujua, akirudi hacra zimepungua au hata kesho yake tunaweza kuongea ki utaratibu, kuna kipindi nilimuudhi kiac cha kwamba aliondoka home week nzima, cm zangu hapokei, sms hajibu na cjui yupo wapi,nilikuwa natamani hata apokee, a reply sms coz naju nilimuudhi lakini wapi, alirudi amenikuta nimenyong'onyea sana, ile adhabu ilikuwa kubwa aiseee, coz nilitaabika sana, aliniambia nilimpandisha hacra akatamani kunipiga lakini akaona italeta shida zaidi so akaamua achukue adhabu hiyo, iliniumiza sana.