4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Jaribu kutikisa kiberiti kwa siku moja tu uone.
Lakini ukipigwa kiukweli huyo mtu anakupenda sana kama hakupendi hawezi kukupiga.
Angalia hata muembe wenye matunda mazuri hupigwa mawe.

Mh.... hii reference sina uhakika nayo....:A S 39:
 
Hii imekujaje kwenye hii topic....?? :confused2::confused2::confused2::confused2:

Mnakumbushwa wananchi wa Kawe mkumbuke kuna Halima Mdee kule.
Mpeni kura zenu kijana mpambanaji kiboko ya Makamba
 
Mh.... hii reference sina uhakika nayo....:A S 39:

Kama huna uhakika nayo waulize wazazi wa zamani watakwambia...
Vijana wa siku hizi mnapenda mapenzi ya Isidingo ukizabwa kibao maanake mpenzi wako anakupenda na kukuthamini anakuweka sawa kesho usirudie tena hata wewe ukiona yeye amekosea mzabe kibao na uhakika hawezi kujirudishia atakuwa mnyonge ndo UPENDO huo jamani.
 
jamani pole Mrs, siku nikikutana naye huyo mjamaa wako namgonga makusudi! si ndio eeh:A S 13:

ndio kabisa my love, yaani kwanza halikuamini kama na mipango ya ndoa yote nimeictisha, "ooh jamani nimekutambulisha nyumbani itakuwaje"...khaa univunje kiuno kisa mamako/babako/na ndugu wamenijua?
 
Heee Mwenyekiti!!!
Umesahau am ur favourite eeh....!! :A S 8:

orait orait unajua nimechanganyikiwa haka kabinti kananiambia kana mimba yangu duh:A S-rose::A S-rose:
 
Leo umeonjwa kibao nini? Nuna tuuuuuuuuuu badae unamwambia njoo kula chakula chako:llama::moony:


Roya Roy kanambia ninywe Grants Kibweka imenizulia kasheshe ati ...
 
anyway ila jaribu kuzuia hayo yasitokee tena mie kwa sasa niko kwenye program maalum yakurudisha upendo ule wa kipindi kile cha kumvizia wife akienda dukani nione italeta matokeo gani nimeanza tena kununua kadi za i luv u na maua na pia najipanga kuandika bonge la barua sio meseji za simu

I love my wife ingawa hata vikombe uwa vinagongana kwenye kabati hakuna aliye perfect 100% but nampenda na ndie mtu wangu wa karibu kuliko wote nilioishi nao karibu duniani
 
orait orait unajua nimechanganyikiwa haka kabinti kananiambia kana mimba yangu duh:A S-rose::A S-rose:

Hahahaha mpwa bana hivi ni ki computer zaidi au kibinadamu zaidi?
 
pearl we mkali ka nakuona vile unazungusha shingo kulia kutoa state ment mh hongera sana kama una maanisha.
 
hilo jina uliloniita umenifanya nijisikie raha ungekuwa karibu ungepata hata chupa ndogo ya Amarula ukanywe w/end kweli mwanamke anaweza akakupa maneno matamu ukajikuta unahonga bila kutarajia, heh hivi topiki ni ipi tena?:tonguez:

hahahahahah tuma kwa DHL FD
 

hilo nimeshafanikiwa Funzadume, cku hizi tukileteana hitilafu kama naona vipi bac nitakaa kimya cmjibu hata aulize nini, unajua hii mambo ya kujiana juu juu nimeona haina faida kabisa, so cku hizi nikimuona yupo juu mie nashuka chini kwa wakati huo mpaka tutulie toyaongee, imesidia sana hii....
 

Kumbe mbege ikilala mkichwa huwa unaongea point nzuri sana namna hii.
Hongera sana.
 

week bila mawasiliano naweza kuugua mie
 
Kumbe mbege ikilala mkichwa huwa unaongea point nzuri sana namna hii.
Hongera sana.

haaa wachana na mbege, na ndio nainywa hivyo hapa ofcn....weekend nilitoka nayo njoro, bac najibebea kidogo kidodgo nakuja nayo kwa ofc, haaa pizza na mbege, kweli mchaga ni mchaga tu...lol
 
orait orait unajua nimechanganyikiwa haka kabinti kananiambia kana mimba yangu duh:A S-rose::A S-rose:

heheh....wakati una-do ze nidful si ulikuwa unafurahia lakini mwenyekiti.....
 
haaa wachana na mbege, na ndio nainywa hivyo hapa ofcn....weekend nilitoka nayo njoro, bac najibebea kidogo kidodgo nakuja nayo kwa ofc, haaa pizza na mbege, kweli mchaga ni mchaga tu...lol

Ndo maana mm nikakushtukia leo vp mbona unashusha mipini ya uhakika kumbe lol...
Lakini jamaa akikuzaba kibao inamaanisha anadumisha mila na anakupenda sana keep it up.
 
Hii mada ishachakachuliwa (na wanaume) basi na mie ndo naitia kabisaa maji ya tope yaishe!!!!

Dume likikupiga kibao we litandike vichwa kama saba hivi, hapafu unampa vifuti viwili na ukimaliza hapo unalicha kipepsi ya mgongo... na bonge la ngwara

likiamka unalituma likakusongee ugali aaaiiiiiiiiiii.... :A S wink::bump2::crazy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…