TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Tatizo lao wale watata wanataka kugawiwa nchi kama nchi paso kwa paso ,fatilia ile ishu ya TFF na ZFF ya mgawo toka FIFA ,wao wanajiona kama nchi wakati sisi tunawaona kama mkoa wa pwani.πππkama ni hii, sasa kwanini tulikuwa hatuwapatii? mbona kitu rahisi sana kinatufanya tunagombana?
yaani Zanzibar ni nguzo ya utalii Tz? wewe upo tz ya wapi? zanzibar ngi nguzo ya utalii kuliko ngorongoro, serengeti, mikumbi na mbuga zote hizi? akili yako umetupa wapi?
Halafu huyu mama sometimes naona amekuja kutuchanganya tu, hii huruma anayoiweka mbele badala ya kutumia akili atatuumiza, hao wazanzibar wenzake wana bunge, mahakama, serikali, jeshi, kuonesha kwamba wana mamlaka wanajitegemea, sasa hii kuwabeba beba mara umeme, bado tuwagawie 4% maana yake nini?
Kwenye Katiba kumeainisha vitu ambavyo ni vya muungano na vingine sio vya muungano, mfano mafuta na gesi au madini, wazanzibari wanadeka sana na huyu mwenzao kaja naona ndio ameamua kuwabeba muda sio mrefu atatuletea habari za Chato nyingine.
Huu muungano sio koti alisema Karume, kuendelea nao ni kujiumiza vichwa bure, hao marais wenyewe wanatoka Zanzibar kuja kututawala bara, kwanini siku nyingine asitoke Rais bara akatawale Zanzibar?
Misaada ya aina gani hiyo?Ninavyoelewa ni 4% ya misaada kutoka nje in atakuwa kwenda SMZ.
Tuna sarafu mojaNaongea hivi kwasababu watu wanavyoongea mtaani wanaongea kama vile kwasababu mama ni mzanzibar basi wanaona wazanzibar wanaweza kupitisha vitu vingi sana ambavo vilikuwa havipiti kwa awamu za nyuma ambazo nyingi
Wewe wale wana Rais. Ni nchi ndani ya Muungano. Rais wao anapigiwa mizinga 21 ya amiri jeshi.kwani Zanzibar ni NCHI?.
Zanzibar HAINA tofauti na morogoro au singida au dodoma n.k
fedha zinazoenda kwenye miradi ya maendeleo ya mikoa ziende pia Zanzibar.
Wewe wale wana Rais. Ni nchi ndani ya Muungano. Rais wao anapigiwa mizinga 21 ya amiri jeshi.
Nyinyi wenyewe mbona munabaguana sana tu? Tena kwa makabila fulani fulani. Mukiwa kabila moja na bosi upendeleo nje nje. Tunayaona yanavyoendelea.
Mara hii tunahamishia makao makuu ya serikali Makunduchi Zanzibar.unfortunately, amini usiamini, mafuta zenji hakuna. na kama yapo, yapo kidogo sana, na kama yakiwepo zenji basi na bara yapo. hata gesi tu hawajagundua. binafsi, ninaamini kama tunataka muungano, tuungane kabisa kabisa tuwe nchi moja, hata hoja ya kuwa na marais wawili kwenye nchi moja hii huwa naona ni ukakasi.
ila kama kweli kuna mafuta zanzibar, ni haki wayatumie wao tu, na sisi gas na mafuta na helium etc zitumike huku tu. Zanzibar kama wakipata mafuta kweli wataendelea sana, kama wakipata kitu cha kuwaingizia hela wataendelea sana kwasababu nchi yao ni ndogo kuiendeleza ni rahisi. hata hivyo.
wamejaa sana bara na ninapenda wajae zaidi ndio maana ya muungano, ila sisi sasa kwenda kwao tunaonekana wageni fulani hivi. tukija ndani ya hoja, ni kitu gani hiki kinachotakiwa kugawanywa? isije kuwa wana hoja ya msingi halafu inafunikwa.
Makabila yote, akikaa mkurugenzi wa kabila fulani kwenye Wizara basi upendeleo unakuwepo kwa staff wa kabila ile.Sema makabila yapi hili jukwaa huru!!! [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna pesa mtalipwa..tumewasamehe madeni mengi achlilia mbali umeme...mnakula bure bado mnataka kutupangia aina ya chakula ch akuwalisha?.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweli wenyewe fedha zote zinazokusanywa na TRA tawi la Zanzibar hubakizwa Zanzibar kama ulikua hujui anza kufuatilia sasa bunge la bajeti la mwaka wa fedha 2021/2022Acha uongo, tra ukusanye mapato znz alaf yote yaachwe znz basi itakua tra yenu ya kikundi cha majambazi
Sasa ziekwe zanzibar kwa niaba ganiHuo ndio ukweli wenyewe fedha zote zinazokusanywa na TRA tawi la Zanzibar hubakizwa Zanzibar kama ulikua hujui anza kufuatilia sasa bunge la bajeti la mwaka wa fedha 2021/2022
Zanzibar ni kupe kwa Tanganyika
Ni chawa hasaKwahiyo na hili deni letu la taifa la 71tr wao pia wanachangia asilimia ngapi?..au tunagawana nusu kwa nusu.[emoji28][emoji28]
Kimsingi huu muungano ni pasua kichwa..vizenji tegemezi zaidi ya chawa..bado vinataka pasu huu ni upuuzi.
Leo hii vi zenji vikija huku ni free kwa kila jambo..ila mbara aakienda huko ubaguzi kuanzia akishuka bandarini..mara kitambulisho cha ukaazi..ni ushezi tu...harafu tunajiita watanzania etu tuna muungano.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu hapo, si mngekuwa mshayapata, toka mlipoanza kelele za mafuta ni miaka mingapi sasa, Uganda wa juzi tu wameyapataMafuta na gesi yapo vizuri tu Zanzibar, katika jambo moja ambalo limesababisha yasichimbwe, ni uroho wa JMT kutaka yawe ya Muungano. Tangu lini rasilimali za sehemu moja zikawa za Muungano ila za upande mwengine zisiwe za Muungano? Lengo ni nini?
Mimi nasema Mafuta yasichimbwe, yaachwe huko huko yalipo mpaka Zanzibar ipate kiongozi anaetaka maendeleo sio hawa wa mfano waliotoka serikali kina Balozi Sua Mbaya Idi, kazi yao ilikuwa kufanya ufisadi tu!
Tangu 1960 utafiti umeonesha kuna gesia lindi na mtwara, mmechimba mwaka gani gesi?Hakuna kitu hapo, si mngekuwa mshayapata, toka mlipoanza kelele za mafuta ni miaka mingapi sasa, Uganda wa juzi tu wameyapata
Kwa taarifa bahari ya hindi ilishafanyiwa tafiti siku nyingi, toka miaka ya sitini (1960s), rasilimali iliyoonekana ni gesi upande wa Lindi & Mtwara
Choyo ikawatawala mkalazimisha mafuta yatoke kama swala la muungano mkiamini mna mafuta kumbe hola