mkuu asante kwa picha.nimewaona watu wangu wa karibu niliopoteana nao miaka mingi.huyo braza na huyo mdada kushoto kwake.
tena hapa ni buguruni karibu na kiomboi kisiriri pharmacy.
Pweza ni chakula kama kande sasa tatizo nini?kina dada wakila Pweza
Duuh! Ndo nakuckia wwe wa kwanza tangu niwajue pwezaHawa pweza huwa ni watamu sana. Tatizo lao wanaumiza meno tu
Ndo maana huwezi kujua utamu wake mkuu, jaribu utaleta mrejesho, mi natoka bara ila nilipokula siku moja duh nikaona watamu aisee saiv nikiingia Dar hutajua kama natoka bara utanikuta napiga pweza balaaa
Kuhusiana na ile imani ya vijana eti heshima ya ndoa sina uhakika maana mi sijawahi kuona tofauti yoyote nile pweza nisile hakuna tofauti nadhani ile ni imani tu
Inawezekana nina tatizo la meno, so no big dealDuuh! Ndo nakuckia wwe wa kwanza tangu niwajue pweza