40% ya wadada wanakula pweza kila siku, wameshitukia nini?

40% ya wadada wanakula pweza kila siku, wameshitukia nini?

PWEZA.jpg
tena hapa ni buguruni karibu na kiomboi kisiriri pharmacy.
 
Ndo maana huwezi kujua utamu wake mkuu, jaribu utaleta mrejesho, mi natoka bara ila nilipokula siku moja duh nikaona watamu aisee saiv nikiingia Dar hutajua kama natoka bara utanikuta napiga pweza balaaa
Kuhusiana na ile imani ya vijana eti heshima ya ndoa sina uhakika maana mi sijawahi kuona tofauti yoyote nile pweza nisile hakuna tofauti nadhani ile ni imani tu

Imetokea tu siwapendi tu, nashukuru na sitajaribu kamwe.
 
Back
Top Bottom