40 Years after the death of Bob Marley see how his graves looks like

40 Years after the death of Bob Marley see how his graves looks like

Wafuasi wake mimi nachekaga.
Sifa zao sasa.
1: mili midogo vichwa vikubwa na nywele ndefu
2: hawana shida na mtu
3: lege ndo miziki yao, ukikuta wana sherehe zao zile wanarukaga bila mkwaza mtu.
4: fegi kwa sana
5: rangi wanazovaa mnazijua.
6: sehemu wanapofanyia kazi zao ni wasafi sana, wanapanda sana maua.

Lugha zao sasa🤣

Jah ma, jah people, never die, never eat meat😂 peace and love😂😂😂😂😂😂

Hawa jamaa wanakulaga michicha huwezi kukuta mwili wake una tunyama.

Kweli boss wao aliacha wafuasi waaminifu.
Pamoja sana madame
 
Bob Marley na nyimbo zake kama utazielewa unaweza badilika kabisa
 
Wafuasi wake mimi nachekaga.
Sifa zao sasa.
1: mili midogo vichwa vikubwa na nywele ndefu
2: hawana shida na mtu
3: lege ndo miziki yao, ukikuta wana sherehe zao zile wanarukaga bila mkwaza mtu.
4: fegi kwa sana
5: rangi wanazovaa mnazijua.
6: sehemu wanapofanyia kazi zao ni wasafi sana, wanapanda sana maua.

Lugha zao sasa[emoji1787]

Jah ma, jah people, never die, never eat meat[emoji23] peace and love[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa jamaa wanakulaga michicha huwezi kukuta mwili wake una tunyama.

Kweli boss wao aliacha wafuasi waaminifu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Umenichekesha!

Ila wako peace sana Hawana baya na mtu...

[emoji3577]&[emoji3531] !
 
Back
Top Bottom