Wakuu samahan naomba kuuliz et nini maana ya 40mph (64 km/h) msada tafazar
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Apo inaman itategemea na mtu atatembea spidigan kulingana na gari yake sio??Kwa kuongezea ufafanuzi, 40mph ni mwendo kasi uliosawa na mwendo kasi wa 64km/h, mfano kama gari itatembea maili 40 kwa saa moja (40mph) mwendo kasi huo ni sawa na hiyo gari itembee kilomita 64 kwa saa moja (64kmh) kwasababu umbali wa maili tano ni sawa na umbali wa kilomita 8.
mph= mile per hour.
km/h= kilometer per hour.
Apo inaman itategemea na mtu atatembea spidigan kulingana na gari yake sio??
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Gari za wazungu nyingi mostly ziko na mph..na 1kph = 1.45mphKuna baadhi ya gari Katika speedometer kumewekwa/kumeandikwa hivyo vipimo vyote viwili "mph" na "kmh" na gari inapotembea mshale unapanda na kulala sambamba juu ya hivyo vipimo vyote, mfano kama mshale utalala juu ya 8kmh hapo hapo utakuwa umelala juu ya 5mph au kama utakuwa umelala juu ya 40mph basi wakati huo huo utalala juu ya 64kmh.
[Kumbuka umbali wa maili 5 ni sawa na umbali wa kilomita 8]