40mph 64km/h

40mph 64km/h

Hicho ni kipimo cha mwendo(Speed) yaani Mile per hour(mph) Sisi tumezoea kutumia kilometer per hour(kmh) ukitembea kwa mwendo wa 40mph ni sawa na kutembea kwa mwendo wa 64kmh.
 
Engineer Punde Atatoka Church Utapata Msaada Unanunua Gari
 
Hicho ni kipimo cha mwendo, maana yake ukitembea mwendo huo basi ndani ya lisaa utakuwa umetembea maili 40, au ndani ya lisaa utakuwa umetembea kilometa 64, hapo factor nyingine zoote unafanya kama hazipo.
 
Wakuu samahan naomba kuuliz et nini maana ya 40mph (64 km/h) msada tafazar

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Kwa kuongezea ufafanuzi, 40mph ni mwendo kasi uliosawa na mwendo kasi wa 64km/h, mfano kama gari itatembea maili 40 kwa saa moja (40mph) mwendo kasi huo ni sawa na hiyo gari itembee kilomita 64 kwa saa moja (64kmh) kwasababu umbali wa maili tano ni sawa na umbali wa kilomita 8.

mph= mile per hour.
km/h= kilometer per hour.
 
Apo inaman itategemea na mtu atatembea spidigan kulingana na gari yake sio??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Apo inaman itategemea na mtu atatembea spidigan kulingana na gari yake sio??

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Kuna baadhi ya gari Katika speedometer kumewekwa/kumeandikwa hivyo vipimo vyote viwili "mph" na "kmh" na gari inapotembea mshale unapanda na kulala sambamba juu ya hivyo vipimo vyote, mfano kama mshale utalala juu ya 8kmh hapo hapo utakuwa umelala juu ya 5mph au kama utakuwa umelala juu ya 40mph basi wakati huo huo utalala juu ya 64kmh.

[Kumbuka umbali wa maili 5 ni sawa na umbali wa kilomita 8]
 
Gari za wazungu nyingi mostly ziko na mph..na 1kph = 1.45mph
 
Back
Top Bottom