Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Mkuu uko nje ya maada.MUNGU apiganiwi kwa JIHADI na wala hana shida ya kupiganiwa kwa lolote na wala hana shida ya kukulazimisha wewe umjue na wala hana shida ya kukufanyia MAAJABU ili wewe ujue uwezo wake ama uhamini uwepo wak..
Rudisha ulichoandika mwanzo ndio turudi kwenye madaMkuu uko nje ya maada.
Au nikukumbushe maada inasema nini
Mi siwezi jadili maada ambayo haijapostiwaRudisha ulichoandika mwanzo ndio turudi kwenye mada
Umeedit baada kuandika DHIHAKA za Awali
Shakahola na ugaidi wapi na wapi?Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.
Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikadhinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya kiakili zaidi
Uhusiano upo kwene security au intelligenciaShakahola na ugaidi wapi na wapi?
serikali ya hovyonaserikali msitu huo jicho pevu ilishasema makaburi ya wasiojulikana
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.
Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya kiakili zaidi
Hicho ndo nasemaKenya hamna Intel. Waliopo wamelalia masikio wanaota ndoto.