45 things a girl wants but wont ask for:

Quelqu'un peut-il parler de choses Mens veulent, mais ne peut pas le dire?
 

Hizi naona tabia za msichana wako, basi wewe unaona wasichana wote wapo hivyo.
 


Kwa kweli hapa The Boss umenichekesha sana uwiii!.....eti chips kuku kila jioni....inaonekana unaongelea thru experience mwanawane!,,,,
 
Kwa kweli hapa The Boss umenichekesha sana uwiii!.....eti chips kuku kila jioni....inaonekana unaongelea thru experience mwanawane!,,,,

very true kelly,wabongo bana hapo umemfikisha ,au uwongo?
 
Wala hujakosea kabisa mwanawane i second you!...ila that is minority!...

mhh what about u kelly???what a man should do to u to
steal ur heart??????

halafu niliwahi kukwambia nisipokuona humu huwa nakonda??????
 
mhh what about u kelly???what a man should do to u to
steal ur heart??????

halafu niliwahi kukwambia nisipokuona humu huwa nakonda??????

hahaha no hujawahi kuniambia...so umeshakonda kilo ngapi mpenzi?....haya nitajaribu fanya schedule yako kuwa rahisi kidogo ili niwe na contribute basi sawa...

mmh hayo ya what i like a man to do for me nitakwambia kwenye PM SAWA!>....Maana sitaki kumwaga mtama kenye kuku wengi
 

do that plse.am waiting.

kuna positive energy ambayo unayo which
i like it,and not many girls have it,
 
hapo vip hapo sawa

Hapo hasahasa mapenzi changa ndo wanayafanya haya wale ambao tayari wameshakomaa kimahusiano wanayafanya kimoja baada ya kingine kwa nafasi itakayowatokea ila ya text na calls hapo sanasana wanayatumia,au nimekosea wajameni?
 

Haaaaaaa nakukubali nakukubali nakukubali nakukubali hii ipo saaaaana hapa Bongo,kijana umechimba kiakili hapa,Big up sana!
 
wadada mtuambie hayo yaliyosemwa ni kweli kwa asilimia 100%?
 
Hao ni wa uswazi tuu.
 
mkuu umenivunja mbavu, hii ni kweli kabisa
 
Ni ngumu..lada muwe wote hamna kazi ya kufanya kabisa...maisha ni mapenzi tu...tuuuuu....hizi stress za kazi utakumbuka haya au ndio kutaka ajila ingine?Na ni yeye tu kufanyiwa?Na yeye anatakiwa kufanya nini?[/QUOTE]

haswaaa! yeye tuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…