Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasichana wa kitanzania bana wanataka hivi......
1,mpigie kila anapokubeep...
2.mtumie vocha kila siku....
3.chipsi kuku kila jioni....
4.weka dvd za kanumba na wenzake za kutosha nyumbani...
5.kuwa na magazeti ya udaku ya kutosha...
7.nenda nae out za kibongo,ambazo ni bar maarufu yeyote.
8.hakikisha una mwanamke mwingine ili warushane roho na vijembe..
9.mpeleke kwenye taarab,
10.mfuate na gari.

Kwa kweli hapa The Boss umenichekesha sana uwiii!.....eti chips kuku kila jioni....inaonekana unaongelea thru experience mwanawane!,,,,
very true kelly,wabongo bana hapo umemfikisha ,au uwongo?
Wala hujakosea kabisa mwanawane i second you!...ila that is minority!...
Quelqu'un peut-il parler de choses Mens veulent, mais ne peut pas le dire?
mhh what about u kelly???what a man should do to u to
steal ur heart??????
halafu niliwahi kukwambia nisipokuona humu huwa nakonda??????
hahaha no hujawahi kuniambia...so umeshakonda kilo ngapi mpenzi?....haya nitajaribu fanya schedule yako kuwa rahisi kidogo ili niwe na contribute basi sawa...
mmh hayo ya what i like a man to do for me nitakwambia kwenye PM SAWA!>....Maana sitaki kumwaga mtama kenye kuku wengi
do that plse.am waiting.
kuna positive energy ambayo unayo which
i like it,and not many girls have it,
hapo vip hapo sawa
Wasichana wa kitanzania bana wanataka hivi......
1,mpigie kila anapokubeep...
2.mtumie vocha kila siku....
3.chipsi kuku kila jioni....
4.weka dvd za kanumba na wenzake za kutosha nyumbani...
5.kuwa na magazeti ya udaku ya kutosha...
7.nenda nae out za kibongo,ambazo ni bar maarufu yeyote.
8.hakikisha una mwanamke mwingine ili warushane roho na vijembe..
9.mpeleke kwenye taarab,
10.mfuate na gari.
Hao ni wa uswazi tuu.Wasichana wa kitanzania bana wanataka hivi......
1,mpigie kila anapokubeep...
2.mtumie vocha kila siku....
3.chipsi kuku kila jioni....
4.weka dvd za kanumba na wenzake za kutosha nyumbani...
5.kuwa na magazeti ya udaku ya kutosha...
7.nenda nae out za kibongo,ambazo ni bar maarufu yeyote.
8.hakikisha una mwanamke mwingine ili warushane roho na vijembe..
9.mpeleke kwenye taarab,
10.mfuate na gari.
mkuu umenivunja mbavu, hii ni kweli kabisaWasichana wa kitanzania bana wanataka hivi......
1,mpigie kila anapokubeep...
2.mtumie vocha kila siku....
3.chipsi kuku kila jioni....
4.weka dvd za kanumba na wenzake za kutosha nyumbani...
5.kuwa na magazeti ya udaku ya kutosha...
7.nenda nae out za kibongo,ambazo ni bar maarufu yeyote.
8.hakikisha una mwanamke mwingine ili warushane roho na vijembe..
9.mpeleke kwenye taarab,
10.mfuate na gari.
nimeyafanya haya yote tangu ujana wangu.
Ni ngumu..lada muwe wote hamna kazi ya kufanya kabisa...maisha ni mapenzi tu...tuuuuu....hizi stress za kazi utakumbuka haya au ndio kutaka ajila ingine?Na ni yeye tu kufanyiwa?Na yeye anatakiwa kufanya nini?[/QUOTE]
haswaaa! yeye tuuuuu!
Umefanya vyema,sasa chukua kila ulichonacho ukatumie na makahaba!!Nimeyafanya haya yote tangu ujana wangu.