4G ya Halotel ni utapeli

Ebu uwe unajarbu kuzima bluetooth afu utoe na hyo wallpaper ya nyumbaa...inawexkana ndo kikwazo
 
We jamaa acha ujinga wako,Unajiaibisha line itasomaje 4G wakati umeiweka Line 2?
Unayo itumia ki internet siku zote inaweka line 1 na sio 2
NB .Kumbuka kufanya settings
 
Nimeona nikuwekee ushaidi
 
We jamaa acha ujinga wako,Unajiaibisha line itasomaje 4G wakati umeiweka Line 2?
Unayo itumia ki internet siku zote inaweka line 1 na sio 2
NB .Kumbuka kufanya settings
Eti? [emoji15] We jamaa unatumia simu gani? Tupa kanunue simubya kueleweka
 
Hawa hawa halotel wanaoaeza kukufungia mawasiliano kutwa nzima bila hata kukutaarifu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…