ashraffbale
New Member
- Jun 3, 2026
- 2
- 3
Habarini,
Mimi nikiwa mmoja kati ya wahanga waliotapeliwa na kampuni ya 4H REAL ESTATE company limited, nawashauri msiende nimeuziwa kiwanja chenye mgogoro maeneo ya Mbutu, Kigamboni
Pia kuna watu amewauzia viwanja hewa vilivyopo Kisarawe Lingato, anaweka beacons za uwongo. Genge hili la utapeli linaanza na mkurugenzi HEMEDI CHUMA na mkewe HUSNA ALLY.
Kampuni ina kesi nyingi polisi, halmashauri ya Kigamboni na mahakamani.
Kuweni makini msije mkaingia kwenye tatizo nililoingia mimi.