Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa brother unaweza kuwa doubt na kitu bila kupata detailed info....yes bei ipo pungufu sana kuliko bei halisi iliyonunuliwa. Na kuna sabb: 1) nina uhitaji wa haraka wa hy cash kiasi nikisema niuze bei inayostahili itachukua years mpk kupata a right person 2) ina kitu kidogo sana cha kufix( haihusiani na bei kuwa chini) 3. Purchasing power imeshuka so ni ngumu sana kwa sasa ukapata mtu akanunua kitu cha mkononi kwa millions of Tz....lkn haswa bei hii imesukumwa zaidi na sabb ya Kwanzaa, nafikiri nimeliweka sawa.Machine kali sana hii sema watu tunadoubt hiyo depreciation ya bei
Anhaa nashukur,kwa hiyo ipi nzuri zaid kati ya hizoLazerjet inatumia wino wa unga na inkjet inatumia maji maji (wino)
Nmekupata mkuu,shukranLazerjet kwakuwa unaweza fanya refilling bila kununua cartridge mpya
Chomoa uangalie. Lakini pia wino moja ina uwezo wa kutoa nakala (copies) ngapi?Namba ya wino sijajua mkuu