reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Habari za jumapili ndugu?
Nilianza na bussines idea, nikaifanyia plan yakinifu sasa nimefka kwenye utekelezaji, Hapa nimekwama nusu, hela inayohtajka kwenye Plan yangu n almost 8M, mimi ninayo 3M japo nitaongeza mpk 4M, biashara ninayotaka kufanya naweza kbsa kuanza na hii 3M niliyonayo lakin nataka kufanya kitu cha kisomi na unique zaid, Kwa Plan niliyonayo nikiitaja masikion pako utaona ni ya kawaida ila machoni ndo utaona utofaut, Nilimuuzia Mtu hii bussines Plan kumbe alikua na pesa ya mtaji tayar, alichoifanyia kazi ile BP kwenye eneo nililokua nimepanga mwanzo nakijua mimi mwenyewe, imenilazm nifkrie/nitafte eneo jingne mpk nikajuta kumpa, haku delay hata dk baada ya kuiona. Asahv SIUZI tena BP mpk nitakapokua nimeifanyia kazi unless utafte idea yako halaf nikuandikie BP, sio maswala ya kugeuzana fursa au chambo kila siku, sio ubinafsi ila kuna protocal za biashara ukizi apply utaonekana mbinafsi kumbe kwenye biashara ni inatafsiriwa kama Makosa na sio Ubinafsi.
Kuona BP yangu ni kwa eidha, tuingie share ya biashara, uwe tayar kushare na wewe mawazo yako(kwenye biashara hii hii), Na mambo mengne kama hayo ambapo wote tunajitoa.
BIASHARA YENYEWE
Uuzaji, Utengenezaji na Usambazaji wa bites and snacks aina zote, natural juices, salads, Uji wa lishe, Maziwa ya mtind kwa flesh, Chai za aina tofaut tofaut n.k n.k, hio n summary japo kwa mjanja hio n fursa pia, Hapo hamna kigeni na sio siri ila namna ya itakavyotekelezwa ndo siri yangu. Unaweza tu ukajiukiza n kvp biashara ya vitu vdg vdg hvyo ika cost 8M?
PARTINER ANAYEHTAJKA
1. Awe na 4M,
2. Mwaminifu,
3. Awe tayar twende kuandikishiana hii business kisheria,
4. Awe tayar ku share details/addreses na particular inf zake tukikubaliana ku ingia ubia,
5. Awe mwenye kutoa mawazo na Mda wake kwenye biasiara.
6.Mpambanaji hasa kwenye kutafta fursa zaid.
7. Asiwe mtu wa lawama, tunajua biashara pamoja na mipango mizuri kuna ku tetereka, sasa sio kwa bahat mbaya bussines iyumbe au kitu kdg tu unaanza kulaumu "wewe ndo ulinishawish tufanye biashara umeona nimeingia hasara?, Au kama vp tugawe mtaji" aisee hii ndo naichukia kuliko zote , ina angusha moyo sana na kukatisha tamaa, Mi nataka mtu mambo yameyumba tukae tutoe mawazo Positive ya kujua namna nzuri ya kuyasolve, na sio kulaumiana, NACHUKIA SANA SANA. Kwa ufup ukubaliane na hasara na changamoto.
8. Asiwe mbahiri, awe tayar kpnd cha mwanzo cha biashara faida itumike kukuza biashara au awe tayar kuzama mfukoni pale panapo ulazma.
Mwisho kbsa, kama una hela yako ila hvyo vgzo hapo huna au huvitak BAKI NA HELA YAKO, Vile vile ukiona yafaa na wewe unaweza ukaweka vgezo na mashart yako tukajadiri, swala hapa n usalama wetu sote na maendeleo.
UZURI WA BIASHARA HII,
gharama nying zipo kwenye vitendea kazi na sio bidhaa, hvyo hutarajii hasara kubwa labda kuyumba kwa soko, hvyo una uhuru wa kuuza vifaa vyako na kuchek mishe nyingne au kubadilisha location Japo yote hayo siyategemei, tofaut na shamb kikibuma unabakiwa na mashmo tu au kuku wa broiler au samaki unabakiwa na vibudu tu(kidding).
location niliyoipanga kwa sasa n lushoto tanga japo tunaweza kufanya mabadiliko kutokana na fursa bora tu uwe mzoefu napo na umefanya analysisi ya kutosha.
Asanteni. PM ipo wazi