Wananchi tuko kwenye mtanziko kilichopo hasa ni nini. Twende na kipi, Serikali imetumia pesa nyingi kutunga sheria mpya ya uchaguzi, mikutano ya Mabaraza ya vyama na kadhalika. Lakini sasa tunaambiwa kuwa ushindi utapatikana nje ya sanduku.
Sasa kipi ni kipi hasa,Kauli ya kukanusha ya Makalla nayo tunaitilia mashaka kwa vile haiendani na vitendo vinginevyo Nape angeadhibiwa sawa na akina Mpina walivyofanyiwa. Wacha tuone mwisho wake.