Fab
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 757
- 14
nikiri kwanza kuwa mimi mwenyewe ni mwenyeji wa mkoa wa mara na nimewahi kuwa na uhusiano na mwanamke aliyekeketwa na asiyekeketwa kwa nyakai tofauti............ anachosema mwita maranya ni sahihi............. na ningependa kizingatiwe................ ukeketaji una faida zake hasa za kisosholojia na kisaikolojia..............
kimaumbile, kutokana na uzoefu wangu, kuna tofauti kubwa sana ya mwanamke aliyekeketwa na asiyekeketwa katika kuhiriki mapenzi.... japo naungana na watetezi wa aki za binadmu kuwa kumkekeketa mtu ni kumpunguzia kiungo muhimu mwilini mwake na kumnyima haki yake ya asili aliyopewa na Mungu........... ikizingatiwa kuwa wengi wa wanaokekektwa wako under 18, basi ni dhahiri kuwa hukeketwa bila ridhaa yao............ pamoja na kuwa jamii yangu ina utamaduni huu na mila hii........... napinga ukeketaji kwa msingi wa kibinadamu...............
mtu aliyekeketwa...hawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa,and eventually humpunguzia hamu ya kufanya tendo hilo...hauoni kama huu ni unyanyasaji?????nyieee :angry::angry::angry: