joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE: Tanzania
Hata mimi niliona hivyo hivyo, nilitegemea angetajwa Uhuru Kenyatta ndio ningejua ni ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23]Niliisikiliza mpaka walipifika kwa Magufuli ninaona tunapotezeana muda.
Acha uchokozi.Hata mimi niliona hivyo hivyo, nilitegemea angetajwa Uhuru Kenyatta ndio ningejua ni ukweli.[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchokozi upi mkuu wangu?Acha uchokozi.
Kwani Uhuru masikini?Uchokozi upi mkuu wangu?
Sanaa tu, Uhuru ni miongoni mwa marais masikini sana hapa Africa, ndio sababu anaongoza kwa kutembeza bakuli.Kwani Uhuru masikini?
Kuna siku niliwahi kusema, "Uhuru awe mwangalifu kupenda kukopa mashariki na magharibi", akisahau kuwa huwezi kutumikia mabwana wawili.Sanaa tu, Uhuru ni miongoni mwa marais masikini sana hapa Africa, ndio sababu anaongoza kwa kutembeza bakuli.