5 things you don't know about Pele

5 things you don't know about Pele

Usitufanye mazuzu sisi,,

1958 yes
1962 aliumia/hakucheza
1970 yes
Wewe ni zuzu
Alicheza na alifunga na kutoa assist
Kwa hiyo alichangia kabsa kwenye ubingwa na ndio maana FIFA inatambua ubingwa wake

Michuano ya 66 ndio aliumia bila kuchangia lolotee
 
Nakubaliana nayo maelezo mengi, Ila napingana naweye unajaribu kumfananisha na Messi.

- Pele alikua overrated nahuo ndio uhalisia. Izo medali 3 za world cup ukizitizama kiundani unaweza sema Ni Brazil iliyomuwinisha Pele nasio Pale aliyeiwinisha Brazil. Brazil with au without Pale Wangeliwin 58 na 70 kama walivowin 62. Walikua na Best team. Kuna wachezaji wengi tu waliofanya vizuri zaidi ya pele ndani ya world cup.
- Kuhusu suala la magoli 1000 ni upuuzi tu, lipo wazi kabisa kama pale alifunga magoli mia saba na ushee lakini sikuzote watu wanapotaka kupamba chao huwawezi.
- Ila unaposema pele alizungukwa na wachezaji mahodari je Vipi kuhusu Messi? 80% ya achivment zake zina mikono ya Xavi na Iniesta hufaham hilo? unafikiri Barca inglishinda champion league 2009,2011, na 2015 bila ya Xavi na Iniesta? na toka wamalzike kimpira Messi Champion league anaisikia radion tu, hata magoli 10 hajafika kwa msimu. kushindwa kuipa taji Argrntina hata la Copa America ni doa kubwa messi kimafanikio. Xavi na Iniesta wameprove kama they can servive without him na they can stiil be the Best, Wamewin 2 euros, na World Cup.

Maradonna >>>> Pele
Maradonna >>>> Messi
Garincha >>>>> Pele
Revalinho >>>>> Pele
Pele >>>>>>>> Messi
 
Nakubaliana nayo maelezo mengi, Ila napingana naweye unajaribu kumfananisha na Messi.

- Pele alikua overrated nahuo ndio uhalisia. Izo medali 3 za world cup ukizitizama kiundani unaweza sema Ni Brazil iliyomuwinisha Pele nasio Pale aliyeiwinisha Brazil. Brazil with au without Pale Wangeliwin 58 na 70 kama walivowin 62. Walikua na Best team. Kuna wachezaji wengi tu waliofanya vizuri zaidi ya pele ndani ya world cup.
- Kuhusu suala la magoli 1000 ni upuuzi tu, lipo wazi kabisa kama pale alifunga magoli mia saba na ushee lakini sikuzote watu wanapotaka kupamba chao huwawezi.
- Ila unaposema pele alizungukwa na wachezaji mahodari je Vipi kuhusu Messi? 80 ya achivment zake zina mikono ya Xavi na Iniesta hufaham hilo? unafikiri Barca inglishinda champion league 2009,2011, na 2015 bila ya Xavi na Iniesta? na toka wamalzike kimpira Messi Champion league anaisikia radion tu, hata magoli 10 hajafika kwa msimu. kushindwa kuipa taji Argrntina hata la Copa America ni doa kubwa messi kimafanikio. Xavi na Iniesta wameprove kama they can servive without him na they can stiil be the Best, Wamewin 2 euros, na World Cup.

Maradonna >>>> Pele
Maradonna >>>> Messi
Garincha >>>>> Pele
Revalinho >>>>> Pele
Pele >>>>>>>> Messi
Umeelezea vyema hadi nimependa[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Ila pointi ya pili nakupinga kama ifuatavyo;
Sawa barca isingeshinda UCL 2009 na 2011 bila Xavi and Iniesta ila je ingeshinda bila Messi..kuhusu wao kushinda world cup na euro japo na wao walikuwa ktk ubora wao ila ilikuwa ni ubora wa kikosi cha Spain wakati huo Casillas,Ramos,Arbeloa,Pique,Silva,Torres,Villa na wengineo walikuwa moto...hivyo hiyo ilipelekea Spain kuwa ktk kiwango bora..
Kusema eti kuwa toka washuke ubora Messi amekuwa akiisikia UCL redioni si kweli sababu UCL waliyobeba 2015 ilichangiwa na ubora wa MSN...wao hawakuwa na impact kubwa....Messi mwaka jana alifikisha mabao 11 UCL...nashangaa sijui hiyo hoja ya kuwa hajafikisha 10+ goals toka Combination ya Xavi na Iniesta ife cjui umeitolea wapi..
 
Umeelezea vyema hadi nimependa[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Ila pointi ya pili nakupinga kama ifuatavyo;
Sawa barca isingeshinda UCL 2009 na 2011 bila Xavi and Iniesta ila je ingeshinda bila Messi..kuhusu wao kushinda world cup na euro japo na wao walikuwa ktk ubora wao ila ilikuwa ni ubora wa kikosi cha Spain wakati huo Casillas,Ramos,Arbeloa,Pique,Silva,Torres,Villa na wengineo walikuwa moto...hivyo hiyo ilipelekea Spain kuwa ktk kiwango bora..
Kusema eti kuwa toka washuke ubora Messi amekuwa akiisikia UCL redioni si kweli sababu UCL waliyobeba 2015 ilichangiwa na ubora wa MSN...wao hawakuwa na impact kubwa....Messi mwaka jana alifikisha mabao 11 UCL...nashangaa sijui hiyo hoja ya kuwa hajafikisha 10+ goals toka Combination ya Xavi na Iniesta ife cjui umeitolea wapi..

umepitikiwa kidogo nahisi utakua, mkuu kwenye soka jitahidi usipelkwe kimuhemkwo wa media. Nafikiri umesahau kama Iniesta ndie aliekua man of the match katika fainal ya 2015. Na habu karejee kutizama mechi za PSG robo fainali mambo aliyoyafanya uwanjani iniesta.
Na kuhusu kutwambia spain wana ubora nakupinga moja kwa moja mkuu. Torres striker aliemaliza euro nzima na goli moja!!!! World cup nzima bila ya goli !!!! ilifika mda spain wakawa wanacheza hata bila ya striker na bado waliwin Cup, and Arbeloa??? seriusly??? Spain waliwin world cup silva akiwa mchezaji bench, Decline ya Xavi na Iniesta ndio mwisho wa dominance ya spain kwenye soka, hao unaowataja tele bado wanacheza na hatuoni kitu, bado mpaka leo iniesta ndie key player wa spain.
Spain na Barca zilidominate ulimwengu wa soka kwa takriban miaka sita timu zote zikcheza kiwango cha ajabu kabisa kwenye mpira, sijua kama anaebisha juu hili? na je ni kipi kilichokua ni common ndani ya Spain na Barca? Jibu ni Xavi na Iniesta.
Both Spain na Barca biggest straight yao ilikua ni midfield, hizi timu zilicheza mpira wa ajabu kabisa na waina yake, ball position wanakidogo basi 70 kwenye mechi toka unaingia uwanjani unashambuliwa mpaka mpira unamlaiza, mpaka kuna siku mzee wetu fargi alikua akitetemeka uwanjani, Babu hakutetemeka kwa sababu ya messi anapiga chenga, Mpira aliokua anachezewa ndio uliomfanya atetemeke, na Xavi na Iniesta ndio waliokua masters. Kulikua na different kubwa kati ya messi wa Barca na Argentina. Lakini je uliwahi hisi tafauti yoyote ya Xavii wa Barca na Spain? pasi 300 kwenye mechi yeye lilikua ni jambo lakawaida si Barca wala si Spain.
Simshushi thamani messi, Ni katika best forward waliowahi kutokea, lakini kufikiria kama yeye ndie aliekua key kwenye success ya Barca nakupinga, Messi asingeliweza pata mafanikio hata nusu ya aliyonayokama asigelicheza barca ile. alikua excellent forward in a perfect team.
Kuwin euro 2 na world cup sijambo la masihara kabisa. Xavi na Iniesta hata bila ya messi wangeweza kudeliverd champion league.
 
Wewe ni zuzu
Alicheza na alifunga na kutoa assist
Kwa hiyo alichangia kabsa kwenye ubingwa na ndio maana FIFA inatambua ubingwa wake

Michuano ya 66 ndio aliumia bila kuchangia lolotee

Wabongo utawajua tu. Unavyompamba Pele utafikiri anakujua 😛 wabongo kwa kujipendekeza hatujambo😛
 
Pelé consistently deceives the footballing community with half-truths regarding his achievements.
This is the same guy that said Nicky Butt was the 2002 FIFA World Cup's best player. So do not take his word as the gospel, especially when he's talking about himself (which he does a lot).
This article aims to enlighten your view on Pelé and here are the top five things he doesn't want you to know.

5. Pelé Didn't Officially Score 1,283 Goals
Pelé did score 1,283 goals, but 526 goals came in unofficial friendlies and tour games.
He even counted games he played for the Sixth Coast Guard in the military competition.
He officially scored 757 goals in 812 games.
As great as Pelé's goal scoring ratio was, it pales in comparison to Fernando Peyroteo.
Of course, Pelé probably would dismiss Peyroteo's achievements, just like I'm about to dismiss some of the Brazilian's goals.
Looking through Emilio Castaño's statistical analysis of Pelé's goal-scoring feats, you can't help but notice irregularities.
Scoreline
Santos 11-0 Botafogo Ri
Santos 11-1 Mar
Santos 10-3 Nitro-
Santos 10-0 Nac
Santos 10-1 Royal N
Santos 10-2 Gu
Santos 10-1 Juv
The eight goals Pelé scored against Botafogo didn't come against the Botafogo.
It came against a side bearing the same name and whose only achievement was producing the late great Sócrates.
It's not the Uruguayan Nacional but some state side in São Paulo. The same applies to Juventus—not the European one, but another irrelevant state side.
Using a modern-day example, it's like Chelsea beating up on Brentford and Leyton Orient in a separate London league.
Even Fernando Torres would score goals against those sides.
A real gauge of Pelé's goal-scoring ability was his international record.
He never scored four goals or more in a game and his 77 goals in 92 games is mortal, as opposed to his mythical 1,283 goals.

4. A Reality Check
Pelé needs a reality check regarding his FIFA World Cup achievements.

Most World Cup All-Star appearances
Most World Cup goals
Most World Cup goals in one final
Most World Cup goals in one tourname
Most World Cup goals in one game
Most World Cup games
Most World Cup games won
Most World Cup tournaments
Where's Pelé?

3. Pelé Was Outperformed in Every Single World Cup
Pelé played in four FIFA World Cup tournaments but was outperformed in every single one of them.
For a man that boasts about his goal-scoring prowess, I find it amusing that he never mentions himself as a Silver Boot winner.

To be fair, Pelé was injured during the 1962 and 1966 World Cup. When he was fully fit for the 1958 and 1970 World Cup, he wasn't the top goal scorer.
In fact, he wasn't even Brazil's top scorer during the 1970 World Cup. That accolade went to Jairzinho with seven goals.

2. Pelé Won Two FIFA World Cups, Not Three
Here's Pelé laying down the gauntlet to Lionel Messi:
Messi needs to reach 758 goals instead of 1,284 and needs to win two FIFA World Cups instead of three.
Pelé was a member of three World Cup-winning teams, but he sat out the large majority of the 1962 World Cup.
It was Garrincha who singlehandedly won the World Cup for Brazil, not Pelé.

1. Pelé Played with Historic Teammates
When Pelé compiled his 125 greatest living footballers list, he didn't include many of his teammates.
Regarding the teammates that made the cut: There are two of the greatest right-backs ever in Carlos Alberto and Djalma Santos. Then there is one of the greatest left-backs ever in Nílton Santos. Also a marvelous midfielder in Rivelino.
Here are Pelé's teammates who were ineligible for his list: Garrincha (inspired Brazil to win the 1962 FIFA World Cup), Vavá (scored three goals in two World Cup finals) and Didi (1958 World Cup Golden Ball winner).
Pelé shockingly omitted teammates: Gérson, Jairzinho, Gilmar, Tostão, Zit and Zagallo.
I read into the omissions as Pelé's way of downplaying his teammate's role in his success.
I would have liked to see Pelé symbolically include Santos strike partner Coutinho on the list as a way of saying thank you. After all, they did supposedly combine for over 1,000 goals.
I'll never forget what Gérson, who was Pelé's Xavi, said this about his role in that legendary 1970 World Cup team:
It was disgraceful that Pelé forgot about the thousands of passes Gérson made.
Meanwhile, Lionel Messi dedicated his FIFA Ballon d’Or to Xavi: "I want to share this with my friend, he deserves it."
Has anyone ever wondered were Pelé was when Garrincha's life was spiraling out of control?
Never forget that Pelé played with historic teammates who made him into the living legend he is.
They were that good that they didn't even need Pelé for the 1962 World Cup.
Naomba source ya hii habari nami nikapakue , angalizo iwe officially and authorized site ,e g FIFA
 
Hivi sheria ya offside, ilianza kutumika mwaka gani? Maana pamoja na kufunga migoli yote hiyo alicheza na mabeki wa kawaida sana.

Anao anao nyingi sana. Angecheza enzi za kina Frank Libouf Nigal de Jongna kina Desaily, asingeweza kufikisha magoli yote hayo.

Kingine. FIFA kwa % kubwa wanamtumia sana Pele kama chombo chake cha propaganda.
 
Ukitaka kujua balaa la Pele hata kipa uwanjani akifanya save ya hatari utasikia pale kacheza kama Pele wakati Pele hata hakuwahi kuwa Kipa.
 
Back
Top Bottom